Arsenal (The Gunners) | Special Thread

4-3-3

Double 8/10

Vieira & Odegaard


Wanasubiri tucheze 4-2-3-1 waendelee kusubiri

The Telegraph wanasema Arteta ana mpango wa kuwa introduce Vieira na Smith Rowe kwenye LCM
 
Leo kaanza fundi Fabio Vieira


Ile namba ya xhaka kwa mchezaji mnyumbulifu kwa msimu unatoka na Goli 10 EPL
 
Aiseee nimeangalia sub zetu arsenal inawachezaji wapatao sita wa maana pale bench
 
Arteta alisema Vieira ni mchezaji anayemuumiza kichwa kwasasa


Maana ili ucheze kwenye double 8 inabidi uwe na sifa za kukaba pia ,

Anasema kwasasa ameimarika Sana kwenye ukabaji


Kwenye ushambuliaji yupo vzr ndio maana pamoja na dk chache ana G/A nzuri


Finally leo kamuanzisha


 
Mkuu unajua kuna forwards na attackers?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…