Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili goli ni ubora wa Saka kwenye half space, lakini the key impact ni movement inayofanywa na Martinelli inamuacha mykolenko dilemma haelewi aende wapi. Nikionaga hivi vitu nampa heshima sn Mikel Arteta, top top structure, hawezi kukosa solution ya tatizo kwenye mechi tatu mfululizo.
 
We have got a SUPER MIKEL ARTETA
 
| Arteta juu ya umuhimu wa Zinchenko:


“Ndiyo maana tumemleta hapa. Analeta kitu tofauti kwa timu. Mtazamo wake na ubora wake wa kufanya mambo fulani huturuhusu kutotabirika na kuleta mashambulizi mengi kila wakati tunapomiliki mpira.” [@arsenal]

Niseme tu sioni kama Tierney ataendelea kusalia Emirates
endapo zinny ataendelea kuwepo kwenye kikosi Cha Arteta...
 
Ila KT kwenye ulinzi next to none.
 
Nionavyo namna bora ya kupata ubora wa KT ndani ya mfumo tunaotumia sasa ni kama tutamsajili Frasneda acheze inverted RB wakati Leo Trossard akibaki LW, atleast inaweza kuleta dynamism tuliyonayo leo.
 
Kuna kipindi alikua anamtumia KT kwa kumpa uhuru wa kushambulia LW uku Xhaka akirudi ku cover Eneo la KT kama LB na hapo Smith Rowe ambaye alikua kama LW akiingia ndani kama No 10s. Kwenye Mfumo wa 4231 tunaweza kuupata ubora wa KT kama ambavyo tulikua tunaupata last season. Nawaza hakuna game Arteta anaweza tumia mfumo uo tena endapo game ikiwa ngumu kwenye upande wa mfumo wa 433 ambayo unamfanya zinny acheze hivi anavyocheza sasa??
 
Oya hayo maneno ya mwisho alisema kweli??😄
 
Kenge ndiyo nani hao? Chelsea? 😄😄
 
Waache roho za korosho. Tumewapa title winners kibao. Clichy, Nasri, Adebayor na tukawapa Arteta aende kumpa Pep mbinu.. .. 😄😄
 
Tatizo ni Moja Arteta hapend na sioni akirudi 4-2-3-1 huo ulikuwa mfumo kwenye Safari ya kuelekea 4-3-3

Ndio maana KT amekuwa Kama katengwa,amekuwa akiingia anabidi akopi Kama Zinny hata Jana alifanya hivo

Tayari anajiandaa kutafuta sehemu nyingine , Newcastle wapo serious wanamtaka

LB Kuna Zinny na Tomiyasu ambao wamekuwa chaguo la kwanza kuliko yeye

Arsenal wanataka €45-50m wamuachie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…