BONNIE GOLD
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 470
- 946
Last time wamekuchapa cha nguruweFursa ya kuongeza gap la point 5, kuna wajinga wanaamini Everton atapata hata sare? kitu ambacho ni muujiza zaidi ya Yesu kufufuka.View attachment 2533664
Zikipungua saaana leo ni 3..Last time wamekuchapa cha nguruwe
Acha kujifananisha na wanaume United tuna kombe nyie asernal8 mnamaliza bila ndooMwanitesa united fan
Kweli Kabisa, kigoli kimoja sio afya kwa timu inayopossess mpira kwa asilimia kubwa, huenda wapinzani wetu wameshajua mbinu zetu.Tunapaswa kuingia hii mechi kwa tahadhari sana ukiangalia na matokeo tuliyopata na opponent wetu kwenye game iliyopita tuliyokutana.
Kwahiyo timu zikiambiwa zitoke na kombe nyie mtatoka na hilo koloboi cup?Acha kujifananisha na wanaume United tuna kombe nyie asernal8 mnamaliza bila ndoo
Leo Everton anaenda kupiga kwenye mshono.Fursa ya kuongeza gap la point 5, kuna wajinga wanaamini Everton atapata hata sare? kitu ambacho ni muujiza zaidi ya Yesu kufufuka.View attachment 2533664
Ila umenifanya nicheke kinoma.Kwahiyo timu zikiambiwa zitoke na kombe nyie mtatoka na hilo koloboi cup?
We kima mtu anapoagiza chakula hotel hua anaanza kuletewa Starter, kisha inafata Soup, baada ya hapo ndio inakuja main course halafu mwisho unamalizia na Dessert.Kwahiyo timu zikiambiwa zitoke na kombe nyie mtatoka na hilo koloboi cup?
Anza na Zinchenko ili asaidiane na Jorginho hapo kati. Mbele inaelekea combi ya Trossard, Martinelli na Saka imekuwa nzuri hivyo anzisha Eddie bench. Hii mechi itawale vizuri usimpe Everton nafasi ya kushambulia.MARCH 1 2023 ,ni siku ya kutafuna Kile Kiporo chetu dhidi ya EVERTON.
-Mechi ya kwanza tulifungwa 1-0, Everton walikaa sana chini na Sean Dyche aliijaza sana Midfield ikiwa na Idriss Gana, Abdoulaye Dacoure ,Amadou Onana
-Everton walizuia kabisa Chanzo Cha hatari nyingi za Arsenal kwenye kutokea maeneo ya Pembeni kwa kuhakikisha Gabi Martinelli na Bukayo Saka hawapokei mpira wakiwana na 1v1
-Newcastle United pia walitumia approach hyo hyo na wakapata 0-0
-Mikel Arteta anatakiwa kuja na Solutions Leo,ili kutanua wigo wa Points dhidi ya Manchester City na kuwa 5
-Je anaweza pengine kuanza na Kieran Tierney kama Left back badala ya Zinchenko? Zinchenko amekuwa muhimu sana kwenye kuimarisha umilikaji wa Mpira wa Arsenal akisogea ndani pembeni ya Jorginho au Partey
-Lakini kwasababu eneo la katikati kurudi nyuma Everton itajaza sana watu, ufanisi pia wa Zinchenko unaweza usiwe wa Kiwango cha juu sana.Na kushambulia kupitia pembeni inaweza pengine kutoa majibu kidogo
-Kuanza kwa Kieran Tierney itamaanisha pia Gabriel Martinelli kuwa na uhuru zaidi kushambulia box kuliko akiwa anashika ule mstari wa Pambizo
-Kuna swali pia kuhusu Thomas Partey na Jorginho kuanza pamoja Leo.Kwangu naona mtu pekee anayeweza kufanya kile Granit Xhaka anafanya akisogea juu ni Fabio Viera.
-Vipi kuhusu Leandro Trossard na Eddie ENKETIAH? Eddie arejee kikosini au Trossard aanze kama mechi iliyopita?
View attachment 2533946
UCHOKO utaacha lini??