Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ningemshauri Wenger kutokununua kipa mwingine huyu dogo anafaa sana ila anatakiwa aongezewe madefender wazuri wa kumsupport,Dogo hababaiki golini.Kwa jinsi alivyo imara golini ni kama Joe Hart wa Man city.Au mkuu unaonaje?

Huyo dogo naye hatabiriki mkuu,ni kama Fabianski tu...Hajakomaa huyu....Tunahitaji golikipa aliyekomaa wa aina ya Edwin Van De Sar....Hapa chaguo langu ni Gianluigi Buffon ama Pepe Reina
Hii thread watu huwa hawatoi thanks!
Kwanza salam mkuu, naona kimya sana siku hizi jukwaani huonekani au watoto nao wamekukera msimu huu lol. safi sana kujumuika na sisi.
Dogo mkali sana lakini anahitaji msaidizi mwingine mkongwe ambaye ataweza kumuongoza jinsi ya kuweza kupanga beki zake pale nyuma na kuwasiliana. Kwahio ni muhimu tukipata kipa mkongwe mzuri ambaye dogo atajifunza zaidi kwake. Ana future nzuri sana huyu.
Huyo dogo naye hatabiriki mkuu,ni kama Fabianski tu...Hajakomaa huyu....Tunahitaji golikipa aliyekomaa wa aina ya Edwin Van De Sar....Hapa chaguo langu ni Gianluigi Buffon ama Pepe Reina
Mkuu naomba baada ya kuangalia game fuatilia kwa makini ujue table inasemaje MANU na CHELSEA Goal different yao (GD)38 kwa 38Mkuu sio kweli kwamba Chelsea ana magori mengi ya kufunga, united ana 71 na chelsea ana 66 tofauti kubwa sana....sijui labda mwenzangu hebu yako umeitoa wapi.......
Cassilas alianza kuwa first eleven akiwa mdogo zaidi RM....wazee mnawapenda sana mbona man Jah Lehmann.....
Varmaelen naona wamuache tu apumzike ajiandae na next seaso, too late sasa hivi.Thomas vermaelen yuko fit sasa natumaini next match atacheza .... naona Djourou naye anaumiaumia sana
Mkuu nimekuelewa,lakini kwanini basi tusinunue mabeki wazuri ili huyu dogo aendelee kuwa golini?Casillas alikuwa na mabeki wazuri ambao walikuwa wanamlinda sana,ukuta wa RM wakati Cassilas anaibuka ulikuwa ngangari,Roberto Carlos,Michel Salgado,Aitor Karanka,Fernando Hiero,Ivan Campo,Ivan Herguera bila kumsahau mtaalamu Fernando Redondo kwenye kiungo cha kukaba....
Kwa aina ya beki tuliyonayo tunahitaji kipa mwenye nguvu na anayejituma kama Peter Cech wa Chelsea,Edwin Van De Sar wa Man Utd,Gianluigi Buffon wa Juventus nk
Mkuu natamani ningekuona hapo ulipo nadhani ningecheka sana. Kwa ushindi huu wa leo kuna kina namna ya kujipongeza,naona sasa ni muda maalum wa kuchukua hizo Milioni za Barca,kwani Ramsey kesha rudi kwenye usukani.
Casillas alikuwa na mabeki wazuri ambao walikuwa wanamlinda sana,ukuta wa RM wakati Cassilas anaibuka ulikuwa ngangari,Roberto Carlos,Michel Salgado,Aitor Karanka,Fernando Hiero,Ivan Campo,Ivan Herguera bila kumsahau mtaalamu Fernando Redondo kwenye kiungo cha kukaba....
Kwa aina ya beki tuliyonayo tunahitaji kipa mwenye nguvu na anayejituma kama Peter Cech wa Chelsea,Edwin Van De Sar wa Man Utd,Gianluigi Buffon wa Juventus nk
Mkuu nimekuelewa,lakini kwanini basi tusinunue mabeki wazuri ili huyu dogo aendelee kuwa golini?
Cassilas alianza kuwa first eleven akiwa mdogo zaidi RM....wazee mnawapenda sana mbona mna JahLehmann.....
Hii thread watu huwa hawatoi thanks!
Hahahahahahah LOL! Mkuu umesubiri weee! kimyaaaa! ukaona ya nini kufa na tai shingoni 🙂 bora utoe duku duku lako tu. Haya Mkuu nimekugongea "nanihii" nyingi za kukutosha tu kwa siku ya leo. Kumbuka ule usemi wa "Wadhungu" usemao scratch my back, I'll........ hahahahah lol!
Eeeeeh bwana nimemkumbuka sana Redondo kibaya hakucheza muda mrefu kwenye top level! Mkuu hata mkiwa na Buffon kwa beki yenu maumivu tu....mcheki Neur kwangu ni Kila bora kwa sasa ila anafungwa na kina Giggs sababu ya defense
Wenger atanunua mabeki 'wazuri' aina ya Squilaci na Koscienly...........Ukweli ni kwamba tunahitaji mabeki na washambuliaji na kipa mmoja mzoefu atakayemuongoza huyu bwa'mdogo wetu.....
Vito Manone yuko wapi jamani?,huyu dogo alianza kuibuka kama ilivyo kwa dogo wa sasa
Mkuu asante kwa kunikaribisha jukwaani tena, ni majukumu ndo yamenifanya nisionekane hapa mara kwa mara kwani Mrs kajifungua mtoto wa kiume mwezi jana.Hatulali usiku,mchana ndo muda mzuri wa kupumzika,ila kwasasa nitaendelea kuwepo hapa jukwaani mpaka mwisho wa msimu.Hongereni tena kwa ushindi wa leo.Kwanza salam mkuu, naona kimya sana siku hizi jukwaani huonekani au watoto nao wamekukera msimu huu lol. safi sana kujumuika na sisi.