Na bado watakata moto kuanzia April kama inavomtokea Newcastle UnitedInashangaza sana, mchezaji mwenye akili timamu aache kwenda Chelsea aende Arsenal.
Chelsea wana msimu mbovu tu lakini ukitaja serious clubs pale England huwezi kuacha kuitaja. Muulize mara ya mwisho Arsenyani kushiriki Champions League ni lini?
Arsenal wana msimu mzuri tu lakini levels zao ni Newcastle United.
Sio baada ya world cup ,Jesus kuumia, ?🤣🤣Na bado watakata moto kuanzia April kama inavomtokea Newcastle United
Wakikutafutia uni-tag mkuu
Mwanitesa united fanInashangaza sana, mchezaji mwenye akili timamu aache kwenda Chelsea aende Arsenal.
Chelsea wana msimu mbovu tu lakini ukitaja serious clubs pale England huwezi kuacha kuitaja. Muulize mara ya mwisho Arsenyani kushiriki Champions League ni lini?
Arsenal wana msimu mzuri tu lakini levels zao ni Newcastle United.
Arteta baadoo anasafari ndefu sana, hana uzoefu hata wa miaka mitano kwenye swala la ukocha mkuu,, ila mpaka sasa ni tishio sana kwa kizazi cha mpira wa kisasaNiambie kitu kingine "cha maana" aliwahi kushinda huyu akiwa kocha na miaka yote aliyocheza. Ukimtukuza huyu sijui Mourinho, Klopp, Tuchel wafanye nini sasa.
Kweli ww ARV zinakusumbua ,kwani Klopp ,mou as maplayer wameshinda Nini?Niambie kitu kingine "cha maana" aliwahi kushinda huyu akiwa kocha na miaka yote aliyocheza. Ukimtukuza huyu sijui Mourinho, Klopp, Tuchel wafanye nini sasa.
Bukayo Saka has always been clear in the last year: no negotiations with other clubs, he only wanted to stay at Arsenal as he loves club, project, coach #AFC New deal agreed one week ago after 13 months talks — it will be signed once final details and documents are sorted.