Arsenal (The Gunners) | Special Thread

REPORTER akimuuliza Unai Emery kwanini walikuwa wanapoteza muda kutaka Draw dhidi ya Arsenal ;

Tumeona Team kama Newcastle United,Everton, Brentford, Man united na Manchester City wakipoteza muda dhidi ya Arsenal.Nimeona hivyo kwenu pia Leo

🗣️UNAI EMERY ;Hyo haipo kichwani Kwangu, haijawahi kuwa idea yangu

Note; Sasa hivi team zimekuna na Mbinu ya kupoteza Muda dhidi ya Arsenal

Man u pale Emirates matokeo yalivyokuwa 2-2 alileta huo ujinga , akapigwa msako akatulia
 
LEE MASON SHUGHULI YAKE IMEISHIA HAPO 😃

Bodi ya Waamuzi nchini England (PGMOL) wanasema ni kwa Makubaliano ya pande zote mbili .Hyo ni kauli ya kiandamizi,Lakini najua wamemfukuza

Huyu ni Mwamuzi ambae alikuwa kwenye chumba Cha VAR kwenye Mechi ya Arsenal dhidi ya Brentford na akasahau kuchora mstari wa OFFSIDE hivyo kuruhusu bao la kusawazisha la Brentford na mechi kumalizika 1-1
 
Acha kulialia, watu wanaifunga Barcelona na wako kimya wewe unaifunga Leicester unaandika kwa capital bold letters!!! Ujinga utaacha lini? hamis77
 
Acheni kulialia, msitegemee sana VAR fungeni magoli ya akili kama ya Rashford hamis77
 
Leo baada ya kuchukua kombe letu la Carabao mashabiki wa Chelsea na Liverpool mtakuwa na jukumu la kuwarudisha nyumbani mashabiki wa Man United, wale wa Arsenal ole wenu tukifika banda umiza tukute viti vichafu.
Haiwezekani muje kuona mechi yetu halafu tusiwape kazi, tumewaita?.
 
Si mmetutumia kabarua ka mwaliko dk 5 tu zilizopita? Hata hivyo Nyukesto Hana maajabu kwenu maana kashuka Kasi. Hivyo nategemea mtawapiga tu
 
Mechi ni moja tu leo, Yanga na Bamako, huo ujinga wenu hatuna muda.
 
Mechi ni moja tu leo, Yanga na Bamako, huo ujinga wenu hatuna muda.
Willy Jr

Kuna Jambo uliwahi kusema kuhusu Ku control mechi kwa Partey sikukuelewa kipind kile nadhan hukuwakilisha vzr maelezo yako

Partey ana sifa nyingi Sana kumzidi JoJo ,but nimekuja kugundua ukiwa na JoJo unaweza kukamata mechi kwa muda mrefu kuliko Partey
Partey anauwezo wa ku cover Large area , press resistant hii pia JoJo anayo ,

Naomba uwaelezee hawa viungo mafundi wawili

Mech zote anazokuwepo JoJo nimeona tuna % kubwa ya kuitawala muda mrefu Tena kwa 70% possession
 
Ifike Wakati Heshima ichukue mkondo wake hakuna winga Bora Duniani kama Bukayo Saka.. Statistically unstoppable na hatari fullbacks wa EPL wanamjua sisi mashabiki wa Arsenal tunajivunia sio busara kumfananisha na wachezaji wa Unyumbuni
 
Dah nyie jamaa
man City ndo yupo nyuma yenu ila mnatuwaza watu wa unyumbuni tu muda wote cool man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…