Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na pia yupo physically fit kwa ushindani wa epl.
 
Mikel Arteta on Arsenal’s win vs Leicester:


“I think defensively we were incredible because we restrict Leicester to one shot on target in the whole game at home is a difficult thing to do. The players did really well.”


@arsenal
 
Mimi ninachosema ni kwamba bado hatuna wachezaji wa kucheza 4 3 3 kwa 100%. Sisemi kwamba 4 3 3 ni butu, with players ambao hawafit inatufanya tupossess mpira ila hatuwi lethal.

Refer game na City, Everton na Brentford na jana. Sasa hivi hata xG imepungua, with Jesus tukicheza 4 3 3 haina tatizo. With Nketiah tunacheza kamari
 
Acha uongo, Arsenal kaanza kutumia double 8 msimu jana 2nd round

Wewe endelea kupiga ramli na kusubiri Gorginho akosee useme ulisema

Kwasasa tafuta vichaka maana mnaaibika
Ushamuingiza Jorginho kwenye hizi ishu?
 
Chochote ninachoandika ukikuta kipo online kimeandikwa na pundit yeyote au kimesemwa na yeyote rudi hapa nitag naondoka jf.

Haipindui ukweli kua hujui kitu hata utukane mpaka baadaye.
 
Chochote ninachoandika ukikuta kipo online kimeandikwa na pundit yeyote au kimesemwa na yeyote rudi hapa nitag naondoka jf.

Haipindui ukweli kua hujui kitu hata utukane mpaka baadaye.
Ukiondoka jf itanisaidia nini? Uwepo ama usiwepo hilo sio tatizo langu. Muhimu kaa chini akina Hamisi wakupige pindi. Halafu hakuna mtu amekutukana. Acha kujitafutia piblic sympathy

Andika utakachoandika/write whatever your write [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Piblic ni nini boss?
 
Mbona mapovu humu, kulikoni?..... watu munaongoza ligi lakini hamjiamini.
 
"Kufika au kutofika kwako hakutazuia sisi kuchukua kombe"
 
🗣️Pep Guardiola after #Arsenal and Manchester City both won yesterday:


“I know how good Arsenal are, I know we cannot drop points, but now they are starting to play Europa as well. Many things are going to happen. They are going to drop points. We are going to drop points. The team who drop less points will be champions.” 💯👍
 
wilsonorumatz_

Hapa Arsenal ilikwenda kushambulia na Leicester City wakafanya shambulizi la kustukiza (Counter attack)​

✍️Tazama wachezaji wote 10 wamerejea Kuzuia.Wachezaji 3 wapo kwa Kelechi Iheanacho na kumnyima machaguo​

✍️Mind you Arsenal ndo team yenye wastani wa Umri mdogo zaidi EPL,Miaka 24. Huwezi kufanya hivi kama team yako imejaa wazee​

✍️Wakati Leicester City alimuweka Tottenham goli 4 hapa.Na akaenda Old Trafford ambapo kwenye kipindi Cha kwanza Performance ya David Degea ndo pekee iliwazuia kufunga Goli 3​

✍️Jana Dhidi ya Arsenal Leicester city wamemaliza mechi Bila Shot on target.Hii haijawahi kutokea kwenye EPL tangu 2019 XG Philosophy walipoanza kufanya kazi rasmi​

✍️Ushindi wa 1-0 ni aina ya ushindi ambao Arsenal inahitaji ili kushinda EPL msimu huu.Yes unafunga goli 1,unafunga duka mechi Imeisha.​

✍️ Arsenal ikiwa na mpira ndo team bora zaidi EPL.Lakini Bado inatoa nafasi nyingi Sana za kufunga kwa mpinzani.Hivyo kama utahitaji kufunga 1-0 ili kushinda mechi.I love it.Kwasababu sio mechi zote utafunga goli 2,3,4.​

✍️Leo sitaki sana kuongelea kuhusu Kwanini Ile faulo ya Bukayo Saka sio Penalty.Kwasababu nimechoka.Baada ya mechi Mwamuzi wa zamani wa EPL Dermot Gallagher amethibitisha ilitakiwa kuwa ni penalty.Lakini ni Arsenal,we move on​

✍️ Jana nilisema Arsenal wana Faida nyingi dhidi ya Leicester City kwenye Kila phase ya mchezo kwaajili ya kushinda hii Mechi.Overload kwenye Buildup na 3-2 wakati Zinchenko akisogea Karibu na Jorginho dhidi ya 4-4-1-1 ya Leicester Arsenal walitoka nyuma kwa urahisi sana.​

✍️ Sometimes Arsenal inaweza kujenga shambulizi na 4-1, Granit Xhaka akisogea kama Left back,na Zinchenko akisogea juu kwenye Half space ya kushoto.So Inategemea tu na mpinzani anaweka watu wangapi kwenye Pressing? Kuna dawa kwaajili ya Kila mtu hapo 😃​

Note;Sitaki kabisa kusema kuhusu penalty tumenyimwa ambayo refa wa zamani Dermot Gallagher amethibitisha ilitakiwa kuwa penalty.Manake I'm tired 😴​

Is it good morning to you watu wa Mungu? 😃​

President​

#mzeewajambia

 

LET'S TALK ABOUT LEO, LEANDRO TROSSARD 😃😃

Jana amechaguliwa mchezaji bora wa mchezo akicheza Dakika 70 tu.

Wakati Gabriel Jesus anaiumia Niliwaambia , Arsenal haitafuti mbadala wake.Inatafuta mchezaji ambae ana uwezo wa kuongeza upana wa kikosi eneo la ushambuliaji

Mchezaji mwenye uwezo wa kutoa Solutions kwa Gabriel Jesus, Eddie ENKETIAH, Gabriel Martinel na Bukayo Saka.Huyu ndo Leandro Trossard

Tayari tangu ametua Kikosini ameshampuzisha mara kadhaa Gabriel Martinelli ule upande wa kushoto.Na Jana ilikuwa ni zamu ya Eddie ENKETIAH kwenye#9

Sahau kuhusu bonge la bao ambalo amefunga na kukataliwa na VAR.Sahau Kuhusu assist yake kwenye bao la ushindi la Gabriel Martinelli.Leandro Trossard Alihusika kwenye nyakati nyingi nzuri arsenal ikishambulia

Kwa mfululizo akishuka kwenye Midfield kuunganisha safu ya ulinzi na ushambuliaji.Lakini pia akifungua nafasi kwa Saka na Martinelli au Odegaard kushambulia kwasababu alikuwa anaondoka na Wout FAES.

Unakumbuka bao la ushindi la Eddie ENKETIAH dhidi ya Manchester United? Ni kazi kubwa ya Leandro Trossard.Kama sio bao la Lee MASON dhidi ya Brentford bao lake lingetupa points 3 muhimu .

Mpaka sasa ameshaipatia Arsenal Points 7​


Na Wilson Oruma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…