Wewe jamaa unaboa SanaTumecheza na hii timu ina beki Faes na hatujamanage kumpa presha mpaka ajifunge au atoe assist.
Wakuu tunapotea
Halafu Sasa Bora tungekuwa tumecheza vibaya ,Wala tumetawala mech had RahaKuna watu hawaridhiki na matokeo. Hapo tumeshinda. Tungetoa sare ndo wangeanza kusema kila mtu hadi Arteta hafai.
Muda mwengine ni lazima tushinde vibaya. Sio kila siku tuta control game.
Tuna mishabiki ya ovyo Sana , hizo back pass hata mm sizioniUyu Jorginho walikua wanasema mzee wa back pass ila sizioni hizo back pass zake zaidi ya forward na/penetration pass
Achana nao matakataka, eti kushindwa kumpa beki presha akajifunga mtu anakwambia tunapotea, takataka kabisaArsenal tuna mishabiki milalamishi Sana
Walimtukana Gorginho kisa ushabiki maandaz wa kupondana na mashabiki wa Chelsea
Sasa hivi wapo kimya kuhusu Gorginho
Tuna mishabiki ya ajabu Sana ,hivi unwezaje kumkataa Gorginho ambaye unaweza kumuacha nje Partey na ukapata mechi nzuri tu
Je mashabiki wa hivi wanatutakia mema kweli?
Mfatilie Faes halafu angalia kama upo sawa kumfananisha na SalibaSwali la kizushi kaka, Saliba aliwahi kujifunga pia na kutoa assist kwaio na wao wanapotea kwa kutokumpa presha? Sio kwamba mtu ame-learn from mistakes?
Kuna mashabiki wao always wako negative tu, hayajui hata positive thinking ni kwa faida ya maisha yao binafsi, ni ya kupuuza tuKuna watu hawaridhiki na matokeo. Hapo tumeshinda. Tungetoa sare ndo wangeanza kusema kila mtu hadi Arteta hafai.
Muda mwengine ni lazima tushinde vibaya. Sio kila siku tuta control game.
Yaani wewe nafikiri kama unatumia simu kubwa kidogo inayoweza kumemorize maneno ukiandika tu ch inajimalizia chuki.Tumecheza mpira mkubwa tu tuache chuki
Sio kila siku tutashinda mengi, First half had dk ya 70 Leicester walikuwa na xG ya 0 shot walipiga 1 tu
Unawezaje kubeza ?
Magoli tumefunga mengine VAR , Mfano penalty pia tumenyimwa
Hebu zungumzia performance nzima ya timu
Leicester wamekuja kuonekana kidogo dk za mwisho ,
Si mchezo.Wewe jamaa unaboa Sana
Sio kila mech utashinda 5,2,3,4
Leo isifie VAR kutunyima Penalty ,Goal
Hata Lile goal la saka VAR ingeamua ni goal
Tume dominate mech yote , Leicester kapata shut 1 dk 90 Tena off target
Hawa ni Mashabiki Mamluki wa Manure.. wasepe tuAchana nao matakataka, eti kushindwa kumpa beki presha akajifunga mtu anakwambia tunapotea, takataka kabisa
Ona pumba unazotema Sasa ,aliyekwambia Arsenal kashindwa kumfungua Leicester Nan?Si mchezo.
Kwahiyo umenuna hapo ulipokaa?
Anyway, hii hapa ni observation yangu.
Hii 4 3 3 works better akiwepo Jesus, kwa Nketiah au make shift ST waliopo 4 2 3 1 ni better kwetu haswa kwa timu zinazojiandaa kupaki basi.
With 4 2 3 1 tunakua strong na constant threat hivyo beki fragile kama Faes ni easier akakosea. 4 3 3 inatufanya tunakua dominant ila timu ikipaki basi kulifungua inakua ngumu.
Uache ujinga
Andika unavyoandika.Ona pumba unazotema Sasa ,aliyekwambia Arsenal kashindwa kumfungua Leicester Nan?
Arsenal katengeneza chances kibao , situation tofauti tu ndio zimesababisha tusishinde magoli mengi ikiwepo VAR ,kunyimwa penalty clear na Goli .
Leicester Wala sio timu ya kubaki Basi Ila Control ya mpira wa Arsenal imefanya leo Leicester aweke rekod ya ku create xG 0.01 toka EPL ianze mwaka huu
Arsenal under 4-3-3 ndio imekuwa timu tishio had inaongoza ligi
Wewe unasema icheze 4-2-3-1 hizi bangi mnavutia wapi?
Project ya kocha anafika Arsenal ni kuja kuijenga Arsenal ya 4-3-3 yenye namba 8 au 10 wawili na Kiungo mmoja wa chini na kuntumia LB awe inverted Midfielder ,wewe unakurupuka unasema acheze 4-2-3-1
Hivi unajua wachezaji wanaosajiliwa ni proper kwa 4-3-3?
Kusema tucheze 4-2-3-1 ni kusema Arsenal irudi miaka 3 nyuma
Sikubaliani na wewe cuz timu zinazopaki bus kunakuwa na wazuiaji wengi so unahitaji attackers wengi ili kufunga goli. 433 inakupa hiyo option, mfumo una namba nane wawili LCM & RCM si km double pivot wa 4231, lkn hata inaruhusu FB kuwa inverted au kupush forward huku structure ikiwa compact km kuna any kind of transition, Inshort 433 inaruhusu defenders kuattack huku tukipunguza risk ya ku concede goals.Si mchezo.
Kwahiyo umenuna hapo ulipokaa?
Anyway, hii hapa ni observation yangu.
Hii 4 3 3 works better akiwepo Jesus, kwa Nketiah au make shift ST waliopo 4 2 3 1 ni better kwetu haswa kwa timu zinazojiandaa kupaki basi.
With 4 2 3 1 tunakua strong na constant threat hivyo beki fragile kama Faes ni easier akakosea. 4 3 3 inatufanya tunakua dominant ila timu ikipaki basi kulifungua inakua ngumu.
Uache ujinga
Acha uongo, Arsenal kaanza kutumia double 8 msimu jana 2nd roundAndika unavyoandika.
Arsenal imeanza kua tishio msimu uliopita second round with 4 2 3 1. Ambayo hiyo shape kutegemea na LB ni nani ingebaki hivyo au kuonyesha glimpses za 4 3 3.
Kisha tukaanza 4 3 3, second round against Spurs na United tumecheza 4 2 3 1.
Hizo visions za Arteta zinajulikana. Huna haja ya kunikumbusha, na ndiyo maana nasema bado hatuna watu wa kutufanya tuwe constant threat with 4 3 3. For now tunadominate game ila hatuwi lethal in front of goal.
It takes a bit longer ili kujua nani yupo sahihi. Am willing to take that bet kwakua am not blinded bado
Hamisi unaupiga mwingi. Mpe huyo dogo shuleOna pumba unazotema Sasa ,aliyekwambia Arsenal kashindwa kumfungua Leicester Nan?
Arsenal katengeneza chances kibao , situation tofauti tu ndio zimesababisha tusishinde magoli mengi ikiwepo VAR ,kunyimwa penalty clear na Goli .
Leicester Wala sio timu ya kubaki Basi Ila Control ya mpira wa Arsenal imefanya leo Leicester aweke rekod ya ku create xG 0.01 toka EPL ianze mwaka huu
Arsenal under 4-3-3 ndio imekuwa timu tishio had inaongoza ligi
Wewe unasema icheze 4-2-3-1 hizi bangi mnavutia wapi?
Project ya kocha anafika Arsenal ni kuja kuijenga Arsenal ya 4-3-3 yenye namba 8 au 10 wawili na Kiungo mmoja wa chini na kuntumia LB awe inverted Midfielder ,wewe unakurupuka unasema acheze 4-2-3-1
Hivi unajua wachezaji wanaosajiliwa ni proper kwa 4-3-3?
Kusema tucheze 4-2-3-1 ni kusema Arsenal irudi miaka 3 nyuma
Bwana Castr kuwa lethal sio tatizo, labda tu wachezaji hawakuwa clinical infront of the goal, yani sio killers, if your system manages to create the better situation and position of the shot to score, kwanini ubadilishe mfumo? Sijaona hoja ya msingi, kwa mfano unaona game opponents waki concede chances after chances dhidi yetu, asa unawezaje kusema mfumo haufai? kwa sababu tumeshinda goli moja?Andika unavyoandika.
Arsenal imeanza kua tishio msimu uliopita second round with 4 2 3 1. Ambayo hiyo shape kutegemea na LB ni nani ingebaki hivyo au kuonyesha glimpses za 4 3 3.
Kisha tukaanza 4 3 3, second round against Spurs na United tumecheza 4 2 3 1.
Hizo visions za Arteta zinajulikana. Huna haja ya kunikumbusha, na ndiyo maana nasema bado hatuna watu wa kutufanya tuwe constant threat with 4 3 3. For now tunadominate game ila hatuwi lethal in front of goal.
It takes a bit longer ili kujua nani yupo sahihi. Am willing to take that bet kwakua am not blinded bado
Kisha, kisha kisha nye nye nye nyeee. Hujui kitu zaidi ya ku tafsiri analysis za pundits huko mitandaoni. Keti chini Hamisi akupige shuleAndika unavyoandika.
Arsenal imeanza kua tishio msimu uliopita second round with 4 2 3 1. Ambayo hiyo shape kutegemea na LB ni nani ingebaki hivyo au kuonyesha glimpses za 4 3 3.
Kisha tukaanza 4 3 3, second round against Spurs na United tumecheza 4 2 3 1.
Hizo visions za Arteta zinajulikana. Huna haja ya kunikumbusha, na ndiyo maana nasema bado hatuna watu wa kutufanya tuwe constant threat with 4 3 3. For now tunadominate game ila hatuwi lethal in front of goal.
It takes a bit longer ili kujua nani yupo sahihi. Am willing to take that bet kwakua am not blinded bado
Huyo Bwana akafundishe yeye. Maana anajua sana.Bwana Castr kuwa lethal sio tatizo, labda tu wachezaji hawakuwa clinical infront of the goal, yani sio killers, if your system manages to create the better situation and position of the shot to score, kwanini ubadilishe mfumo? Sijaona hoja ya msingi, kwa mfano unaona game opponents waki concede chances after chances dhidi yetu, asa unawezaje kusema mfumo haufai? kwa sababu tumeshinda goli moja?