Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mabingwa wa Epl 2015/2016 Leicester City leo tunashinda kwenye hili jukwaaa mpaka kipenga cha mwisho.
Kina Jamie Vardy, Wilfed Ndindi, Kalechi Iheanacho, James Maddison, Kiernan Dewsbury-Hall, Harvey Barnes, Patson Daka bila ya kumsahau Fundi mwenyewe Youri Tielemans wana hasira sana leo baada ya kupoteza mechi aliyopita.
Brendan Rodgers kasema kama waliweza kumtandika Spurs Goli 4-1 basi Arsenyo akipona sana leo atagongwa goli 3-1
 
Mzee wa kutaja majina ya wachezaji
 
Zee la kupiga mbwembwe, Leicester 1-3 Arsenal
 
Tuna press kuliko timu yoyote duniani kwa sasa. Yani tunakabia juu hata uwe nani man u style yetu kwa ss ni kukabia juu, lazima upotee mana inafika kipindi hujui pasi umpe nani.
Mje mjifanye mna press mbele ya Zinny,White,rams, ndo utajua mjipime kua mna uwezo wa kupress au unazulula
 
Hakuna mchezaji mwenye akili timamu akubali kuhamia Arsenal.

Ni looses and rejects pekee ndo wenye hayo mawazo.

Yani mchezaji asicheze Juventus aje acheze Arsenal?

Una akili timamu?
Mchezaji anayesaini mkataba wa kujiunga Arsenyani, kuna matatu:

1. Hakuna timu zaidi ya Arsenyani inamtaka.

2. Ni chezaji lililojichokea kutoka Cheltako, wanatupiwa wao. Ndiyo tunawaita wachezaji wa mafungu.

3. Soma namba 1 tena.
 
Friends of Leicester City leo tumeweka kambi hapa. Tutakuwa tukiwapa support wenzetu waliopo kule King Power Stadium.
 
Pepe Guardiola soon atakimbia epl

Arsenal ndio timu yenye umri mdogo kuanzia kocha Hadi wachezaji

Tuna timu ya kusumbua miaka 6 mfululizo


Kwasasa unaweza kupata matokeo kwa Arsenal ,sio kwamba hutaweza kutufunga ,ila Kama huyu city amefikia Hatua Possession tu hawez kupambana na Arsenal ,means tuna timu ya kusumbua miaka mingi

#Arsenal made 564 passes (67% possession), against City we made 524 passes (64% possession), against Brentford we made 590 passes (69% possession) and against Everton we made 639 passes (71% possession).

Keep controlling games, and the wins will come.

We had a blip. #afc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…