Asantealimaliza kinara wa kundi.. anasubiri play offs round of 16.. izi zinazochezwa saiv ni play offs za wale waliomaliza nafasi za pili kweny makundi EUROPA league na wale waliomaliza nafasi za tatu kwenye makundi UCL.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mchezaji mwenye akili timamu akubali kuhamia Arsenal.Ukiiangalia juve na ukaangalia shombo za locatell na vilahovic wakati walipoikataa arsenal na nafasi yao ndani ya team na ulaya kwa ujumla kuna kitu unaona ambacho hawa jamaa wanapokuwa kwenye prime time hawakioni.
Mawakala wanachangia mno kuua carrier za wachezaji wao hasa mawakala A-list na mawakala wanaotoka kwenye mazingira magumu financially.
To them a player is just a product(fact) which they don't consider who takes it and how will the product be fashioned now and then.
Nafikiri kama kuna kitu wachezaji wanapaswa kukiangalia kwa umakini ni aina ya mawakala wanaowasimamia.wanawauza.
Kushine kwa mchezaji katka klabu fulani binafsi huwa naamini kunachangiwa na vitu vingi sana ila few to mention ni
-kuaminiwa na klabu yake
-kuaminiwa na wachezaji wenzake
-aina ya wachezaji anaocheza nao na kile wanaofa kwake hadi kung'aa
-kocha na technical stuffs
-tactical setting ambazo zinamfanya kung'aa
-tabia ya mashabiki wa klabu aliyopo/anayochezea
-vission na mission ya mchezaji na namba inavyoshabihiana na vission na mission ya klabu
-role ya wakala.
Hazard ni another case study
Nketia anachopaswa kufanya yeye afunge tu, afunge tu yan afunge, ila ndo kama ivyo hafungiEbhana uyu jamaa arudi tu aisee
Kuna clip nlikua nacheki kipindi yupo aisee moto ulikua unawaka kwelikweli
Nketiah amefanya kwa nafasi yake ila G Jesus ni level nyingine yule mwamba
Hahahaha watupatie hao wehuThe 7 possible teams Arsenal can draw in the Europa League R16
• Union Berlin
• Juventus
• Leverkusen
• Roma
• Sevilla
• Sporting Lisbon
• Shakhtar
Would love to draw Shakhtar and see Trossard put 3 past them…
Juve Jina tu ndo limebaki, toka aondoke Allegri msimu uleeeeeeeeeHakuna mchezaji mwenye akili timamu akubali kuhamia Arsenal.
Ni looses and rejects pekee ndo wenye hayo mawazo.
Yani mchezaji asicheze Juventus aje acheze Arsenal?
Una akili timamu?
tingisha kwanza icho kichwa uo ujinga ushuke chini
FA ipi hiyo na wewe kichwa mavi.
XSHAKA aanzie benchi waanze gorginho na parteyArteta amesema Partey yupo fiti Ila hawatamuharakisha sababu Gorginho yupo