Uwezo upo kabisaTukiweza kushinda game 10 out of 15 zilizobakia tuna asilimia 90% za kuchukua ubingwa
Haitofika mbali huko japo Arteta hataki kumuwahisha hadi awe full fitHivi Jesus anarudi lini uwanjani ???? inaweza kwenda hadi mwez wa 3 mwishoni kabisa aisee
Nimeangalia magoli. Wooow. What a diving header from Emi Martinez. Jamaa hajatusahau kumbe. Once a Gunner always a Gunner.
Ding dong
Nasikia jamaa amekuwa mhuni siku hizi. Mpoteza muda na mkorofi mpaka kapewa kadi. Na ni kama amekuwa na chuki juu yetu. Like goli linachukuliwa kama poetic justice Kwa uhuni wake tena dk za mwishoNadhani lile goli lilimkosesha usingizi jana
Mnapenda ushindani nasi wakati sisi hatushindani na nyie.
Hata wanavyocheza hawa sio level yetu, wanafos tuMnapenda ushindani nasi wakati sisi hatushindani na nyie.
Ushindani wetu ni dhidi ya City. Nyie hamna jipya. Tushawagonga. Tuna deni na City tu.
Kwahiyo punguzeni mataraji
Mnataka ubingwa na Man u inataka ubingwa na hapo ndio ushindani ulipo na kama unaamini Man city ndio mshindani pekee kisa mnaizidi Man u points 5+3 kwa epl hizo ni points chache sana .Mnapenda ushindani nasi wakati sisi hatushindani na nyie.
Ushindani wetu ni dhidi ya City. Nyie hamna jipya. Tushawagonga. Tuna deni na City tu.
Kwahiyo punguzeni matarajio.
Epl 5+3 ni chache??? Hahaha aiseee ivi unaijua EPL vizuri kakaMnataka ubingwa na Man u inataka ubingwa na hapo ndio ushindani ulipo na kama unaamini Man city ndio mshindani pekee kisa mnaizidi Man u points 5+3 kwa epl hizo ni points chache sana .
Basi wewe ndio huijui epl. Msimu uliopita kuna kipindi Man city alikuwa amemzidi liverpool points 14 ila ubingwa ulipatikana mpaka mechi ya mwisho kwa tofauti ya point 1.Epl 5+3 ni chache??? Hahaha aiseee ivi unaijua EPL vizuri kaka
Kwenye point yako ya kwanza, umesema bingwa alipatikana kwa tofauti ya pointi moja, sasa 5-3 zitakuaje chache sasa.Basi wewe ndio huijui epl. Msimu uliopita kuna kipindi Man city alikuwa amemzidi liverpool points 14 ila ubingwa ulipatikana mpaka mechi ya mwisho kwa tofauti ya point 1.
Pia kwa hapo zamani kidogo gape hilo hilo la points 8 kuna timu iliwahi kukosa ubingwa au ilibaki kidogo ikose kama sikosei ni kati ya man u na man city. Punguzeni matarajio pia na kumuona man city ndio mpinzani pekee.
United wapo kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa mimi na amini hili pia."Arsenal fan" points hapo ni tano tu hizo tatu hazihesabiki kwa sasa kwakua hatujacheza.kimahesabu huwezi kuiondoa united kwenye kushindania ubingwa,tumeona mechi tatu tu ambazo arsenal ameteleza zimeongeza title contenders.Basi wewe ndio huijui epl. Msimu uliopita kuna kipindi Man city alikuwa amemzidi liverpool points 14 ila ubingwa ulipatikana mpaka mechi ya mwisho kwa tofauti ya point 1.
Pia kwa hapo zamani kidogo gape hilo hilo la points 8 kuna timu iliwahi kukosa ubingwa au ilibaki kidogo ikose kama sikosei ni kati ya man u na man city. Punguzeni matarajio pia na kumuona man city ndio mpinzani pekee.
We jamaa acha mambo za ushoga bcEverton Vs Arsenal
Fulham Vs Arsenal
Westham Vs Arsenal
Newcastle Vs Arsenal
Arsenal Vs Brighton
Kuna hizo hapo nyingine sio rahisi kama unavyofikiria, mechi 4 ugenini halafu moja Emirate.
Ligi bado ngumu hii, kuna surprises za kutosha, mechi unayoichukulia simple ndio utayopoteza points3 bila kutegemea, chamsingi ni kukaza makalio tu ukilegeza kidogo tu unakuta ukuni ushaingia.
View attachment 2522739