Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Pale kwa Xhaka panamshinda sikuiz, panamfaa zaid Fabio,Hapana, Jorginho tayari yupo kwenye nafasi yake. Huyo Shaka atafutiwe mwenigne wakupishana nae.
Xhaka hucheza uzuri akiwa na Partey kwani hupanda juu akiwa CM kusaidia mashambulizi na Odegaard, na Partey kuwa alinda back four na kuharibu mcheze wa timu pinzani.Pale kwa Xhaka panamshinda sikuiz, panamfaa zaid Fabio,
Kuna jamaa mmja humu aliwahi kusema Xhaka anacheza vizuri ila sio mnyumbulifu kama tukipata kiungo mnyumbulifu zaid Eneo lake tutakua bora zaid na zaid,
Said it all.Arsenal ubingwa unatupenda ila sisi tunazingua City kadroo huko.
Said it all.
And Newcastle awayWe still have 4-5 tough games.
Man City
Chelsea
Liverpool
Crystal Palace and the last game
Partey asipokuwa Beki zetu zinakuwa Exposed kirahisi sana, Jamaa anajua Kubalance Kuzuia na Kuanzisha mashambulizi.Xhaka hucheza uzuri akiwa na Partey kwani hupanda juu akiwa CM kusaidia mashambulizi na Odegaard, na Partey kuwa alinda back four na kuharibu mcheze wa timu pinzani.
Kama Patey hayupo Xhaka hupata shida kwani yabidi kubakia pale katikati na hivyo Arsenal kushindwa kufanya mashambulizi ya mpangilio.
Timu kama Man City waliweza kuizidi sehemu ya kiungo ya Arsenal kwa kila kitu lakini Aston Villa kuliwa na 50-50 hivyo imesaidia kidogo Arsenal.
Xhaka ni mchezaji mzuri lakini tukumbuke first 11 ya Arsenal ni Martinelli pekee ambae angalau amepata wa kumpumzisha (Trossard) ila wengi wao akiwemo Saka wahitaji kupumzika baadhi ya mechi huko mbele.
Saka ndo hana wa kumbadili maana Nicolas Pepe hayupo, hivyo hata ikitokea apigwa viatu sana hujitahidi kuendelea kucheza game na kuuguli maumivu baadae.
Hiyo ndiyo Arsenal ya sasa ambayo yanikumbusha Arsenal ya 2004.
Kama tunavyoamini washabiki sasa Arsenal ubingwa ni wetu kuupoteza njia imesafishwa na Manchester City na tuna game in hand.
Everton Vs ArsenalWe still have 4-5 tough games.
Man City
Chelsea
Liverpool
Crystal Palace and the last game
And Newcastle away
Brighton home.
Should be Brighton, Palace aren't that good.Yes niliisahau hiyo,I watched their match yesterday against Liverpool with 10 men muda mrefu, lakini walimpa muda mgumu Liverpool. Brighton ndio ya mwisho niliyomaanisha
Should be Brighton, Palace aren't that good.
KiLa game ni tough mkuu. Premier League si lelemamaWe still have 4-5 tough games.
Man City
Chelsea
Liverpool
Crystal Palace and the last game
Usiandike hivi the next day if you dont understand the meaning of defending.Partey asipokuwa Beki zetu zinakuwa Exposed kirahisi sana, Jamaa anajua Kubalance Kuzuia na Kuanzisha mashambulizi.
Asipokuwepo tunakosa sana Balance katikati, Jorgihno sio Mkabaji kwa asili yake japo anacheza Deep.
🚮 Ila huyu Nketiah ni takataka badala kufinya nakumpasia MartinelliUsiandike hivi the next day if you dont understand the meaning of defending.View attachment 2522910