Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ilibidi timu ubadilike second half ili iweze kupenya kwenye back 4 ya villa ndio maana unaona hata attempts ziliongezeka kwetu. Hili ndio nilikuwa namaanisha but for buffoon like you it is hard to understand
Tatizo lako huna msimamo. Unamponda mchezaji halafu dakika mbili mbele unaanza kumsifia tena. Mechi ndo kwanza ilikuwa dakika za mwanzo ila ukaanza kumlinganisha Arteta na Emery. Mbele kidogo ukiona matokeo unabadili gia tena. Unakuwa kama hutambui uliposimamia ni wapi.
Hakuna anayekuzuia kutoa maoni ila ni bora uwe unangojea dakika tisini kuliko kubadilika badilika rangi namna hiyo.
 

I was expecting this kind of rubbish from you. Hujui kitu
 
Hapana, Jorginho tayari yupo kwenye nafasi yake. Huyo Shaka atafutiwe mwenigne wakupishana nae.
Pale kwa Xhaka panamshinda sikuiz, panamfaa zaid Fabio,
Kuna jamaa mmja humu aliwahi kusema Xhaka anacheza vizuri ila sio mnyumbulifu kama tukipata kiungo mnyumbulifu zaid Eneo lake tutakua bora zaid na zaid,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…