Martinez haipendi Arsenal
Sisi na yeye uhusiano wetu umekua wa mtu na mpenzi ambao wameachana kwa kisasi.
Baada ya 2-2 akawa anaoverdelay mpaka akapata yellow, akiwa ana hamu ya kuhakikisha poetic justice inatendeka akaenda mbele muda wa kona kusaidia mashambulizi ili Villa ipate suluhu, hii ikawa a blessing in disguise na ikatupa goli la nne.
Hata hivyo bado naamini tunatakiwa kurudi kwenye 4 2 3 1