Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,027
- 2,316
Muangalie vizuri leo.Duuuhuu,, mku hivi pale man u,, nani atamuweka saka njee kwenye ile position
Et unasema saka hakabi,, fullback both, wingback both,
UNAOTA!!Arsenal atamaliza ligi akiwa na point 92.. atapoteza mechi nne na kutoka sare mechi tano. Mpaka sasa ameshapoteza mbili na sare tatu. Amebakisha sare mbili na kupoteza mbili.
Sasa kama kuna timu itaweza kuzidi hizo point basi itapewa ubingwa. Timu zinazoweza kusababisha arsenal akafungwa au sare ni Man City ugenini, fulham na liverpool zote za ugenini na brighton nyumbani.
Mashabiki wa arsenal waendelee kutembea kifua mbele.
HII KITU ITAKUWA NI UONGO, HAIWEZEKANI L, L, L, L ZIKAWA NYINGI KIASI HICHO. HIYO SASA ITAKUWA TIMU AU UTOPOLO?
Kwa hiyo wewe unashabikia timu haijachukua hilo kombe miaka 21 na haijawahi kuchukua UCL ndio una akili?Yani wewe hujionagi km huna akili, obsession yako kwa Arsenal imevuka mipaka, toka msimu umeanza unandika ngojera zako lakini hujifunzi, City atafungwa leo kesho utaandika ngonjera tena, tushakuzoea km mwanamke vile.
Kupata kichekesho kingine kama hiki tuma neno MANCITY kwenda EMIRATESArsenal leo tunashinda hii mechi mapema
Daaah na nguvu yao City ipo katikati. Ya kiwanja, pigo moja kubwa sanaCurrent newsView attachment 2518546
4 2 3 1 inakupa chansi ya FBs kuoverlap. Inakupa chansi ya kudisarray hii man marking ya wings.Na kwanini upange two DMs wakati unacheza dhidi ya low block teams i.e Everton & Brentford? Newcastle, Everton, Brentford walikuja na tactic inayofanana, 5 midfielders kublock penetration BTL, block central fluidity cuz Xhaka na Ø wanapata ugumu kureceive in BTL unless washuke chini, pia tactic inayotumiwa na wapinzani now ni kudouble mark our wide players Saka & Martinelli, timu chache za mid table zinazoweza Ku implement hizi mbinu kwenye ligi, mostly Brentford, Everton,Newcastle maybe Fulham wapo tactically & physically fit.
Game dhidi ta Brentford tuliona Arteta akiwa na solution ya hizi mambo, Saka & Martinelli wanaingia zaidi kwenye half space kutoka kwenye wide area ili kuachia space kwa FBs na kuruhusu overlapping movements za full backs wetu, na ingefaa sana kwenye aina hii ya mechi kuwa na traditional FB km Tierney / Livramento/ Frasneda.View attachment 2518451
Furaha ya kumuona Tomiyasu akilejea kwenye first eleven,,Partey is not available tonight!View attachment 2518660