Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ndoo
Halaand kiatu..

Mda utaongea
 
Nimeangalia mechi zenu tatu zilizopita Martinel amefail, Saka amefail. Saka anajiona star hakabi anasimama kule pembeni anasubiri apelekewe mipira, shida ni timu haina namba 7 mwingine makini ambapo Saka akizingua anatolewa faster kwa hiyo anarelax anajua hamna cha kumfanya. Tafuteni option nyingine. Kwani hamna hata watoto wa academy huko muwapandishe!!
 
Duuuhuu,, mku hivi pale man u,, nani atamuweka saka njee kwenye ile position

Et unasema saka hakabi,, fullback both, wingback both,
 
Arsenal atamaliza ligi akiwa na point 92.. atapoteza mechi nne na kutoka sare mechi tano. Mpaka sasa ameshapoteza mbili na sare tatu. Amebakisha sare mbili na kupoteza mbili.

Sasa kama kuna timu itaweza kuzidi hizo point basi itapewa ubingwa. Timu zinazoweza kusababisha arsenal akafungwa au sare ni Man City ugenini, fulham na liverpool zote za ugenini na brighton nyumbani.

Mashabiki wa arsenal waendelee kutembea kifua mbele.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…