Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maombi mengi toka kwenu yanahitajika sana Ndugu zangu, tayari tumeshapoteza Dume lingine likiungana na punga lenzake lililojutangaza J3 wiki hii.

Mungu twakusihi utuokoe na hili pepo chafu la ushoga sisi na Watoto wetu, Amina


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wanasubili watufunge ndio waje kuandika paragraph humu
They are bunch of cowards wanaoshangilia matokeo tu timu ikianza kuyumba yanajificha kwenye shamba la karanga🤣 yaani yanaongoza point 3 na mechi mkononi ila hayajiamini kuna yule Mjapan wa "Arsenal ndoo" "Haaland kiatu" naye haonekani🤣🤣🤣 hamna kitu hapa wapigwe tu🤣🤣🤣
 
Pep alikua anajibu swali kutofautisha uchezaji wa City na Wa Arsenal akasema City wanapitia katikati wakati Arsenal tunapitia pembeni na kweli tukiangalia timu yetu baada ya maneni yale timu kama zimetujulia zinakaa nyuma zinatuacha hasi kwenye final third wanakaba nafasi za pembeni mambo yanakua magumu kiukweli mechi ya kesho tubadilike tuliona mechi ya FA, AKE alikua anatembea na Saka angalau odegard akuwepo kwani wote huwa wanaenda pembeni waki alternate na kukabika inakua ngumu ila tusubiri tuone yote kwa yote Arsenal tutashinda mechi ya kesho
 
Mechi ya kesho tunashinda! Japo itakuwa mechi ngumu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…