verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,126
- 6,181
Game ya City wacheze Martinelli na Trossard pale juu, uyu atokee subHuyu dogo anatupa false hope, summer aondoke tu huwa tunategemea akifunga basi kujiaminii kunaongezeka na accuracy iongezeke ila sasa yeye akifunga leo game inayofuata ndo anachoma kabisa
Tumeshindwa kutumia nafasi zetu tusitafute mchawiwazee huyu Joginho sio gundu lenyewe huyu
maana tunaenda kucheza na city tukiwa very under pressure
Cha msingi tupambane tu tuingie top four,tushapoteana hatuna depth ya kikosi cha kupambania ubingwa tumeshindwa kununua quality players January tunakuja kuwachukua wakina JorginhoCity wameamka tayari huku sisi tukiwa tunazidi kudidimia tu hata ile intensity ya pressing tuliyokua tunaifanya mpinzani akiwa na mpira sasahivi haipo
Iyo jumatano hawa kina Martinelli wasipokaza makalio tutaanza kuombeana njaaCha msingi tupambane tu tuingie top four,tushapoteana hatuna depth ya kikosi cha kupambania ubingwa tumeshindwa kununua quality players January tunakuja kuwachukua wakina Jorginho
Piga ua garagaza tupate point jumatano, tucheze hata jihadIyo jumatano hawa kina Martinelli wasipokaza makalio tutaanza kuombeana njaa
Vijana wamerelax sana siku hizi tangu game na manyumbu ni kama tumemaliza msimu kuanzia Nketiah Martinelli wanacheza kifazaPiga ua garagaza tupate point jumatano, tucheze hata jihad
Mi kiujumla kwenye naona tumerudi kwenye arsenal inayozuia kitoto ukiangalia goli la everton na la bretford hazistahili kuifunga timu inayogombania ubingwaVijana wamerelax sana siku hizi tangu game na manyumbu ni kama tumemaliza msimu kuanzia Nketiah Martinelli wanacheza kifaza
Uongoze league for almost season nzima kisha utolewe top kirahisi ,itakuwa ni upumbavu mkubwaCha msingi tupambane tu tuingie top four,tushapoteana hatuna depth ya kikosi cha kupambania ubingwa tumeshindwa kununua quality players January tunakuja kuwachukua wakina Jorginho
Kina Nketiah sio wa kutupa kombeUongoze league for almost season nzima kisha utolewe top kirahisi ,itakuwa ni upumbavu mkubwa
Jumatano kina Mahrez na Haaland wanakuja kuwafumua mshono hapohapo chumbani kwenu kima nyie.Jumatano tutaona kama kweli we mean business au bado tunajitafuta
Mbwa jike akiwa Joto huwatafuta wanaume waliko ili wampe fimbo kisha akatulie na Kuzaa.Jumatano kina Mahrez na Haaland wanakuja kuwafumua mshono hapohapo chumbani kwenu kima nyie. View attachment 2515369