Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mnateseka na kesho mnaenda kuliwa
Mechi tatu mfululizo hujashinda hata moja, Tusema nne hamjashinda hata moja maana inayofata ni ya City na haiwezekani kwa njia yoyote mkashinda #arteta out# Huyu arteta mkimchekea mtamaliza namba tano nyie kama kawaida yenu.
 
wewe ni miongoni mwa MACHOKO mliopo JF,weka msimamo wa Ligi kabla hujazibuliwa huo Mtaro wako
 
Mechi tatu mfululizo hujashinda hata moja, Tusema nne hamjashinda hata moja maana inayofata ni ya City na haiwezekani kwa njia yoyote mkashinda #arteta out# Huyu arteta mkimchekea mtamaliza namba tano nyie kama kawaida yenu.
Arsenal kuongoza ligi mpaka sasa mashabiki wa Manchester united mnaumia sana na sijui ni kwanini.
 
Kocha ameshasomwa na kueleweka kwa wapinzani. Suluhisho sasa ni kurotate wachezaji, afundishe kupiga nje ya box na kuanzisha mfumo wa kuweza kupiga counterattack inapobidi.

Kinyume na hapo tunaweza kuanza kukimbiana hapa kwenye uzi.

Somehow yes, I think he needs to structure the team to be ready to win the game in the event our opponent pack the bus
 
Namna pekee arse8 anaweza kushinda kombe ni kumkata Man City point 15 nje ya uwanja.
Hata Mancity akikatwa point hawa kima hawachukui kombe, nina uhakika AsaniWali hawawezi kumaliza ligi wakiwa juu ya Man Utd na Newcastle.
Nimekaa paleeeeeee
 
Kama umeiangalia documentary yetu ya All or Nothing utakubaliana na mimi kwamba ilibidi iendelee na msimu huu

Hizi ups and downs inapendeza zikikaa kwenye kumbukumbu. Achana na viazi vichache vitakavyokuambia vinginevyo Arsenal bado imetanguliza mguu kwenye hii show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…