MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Amina tuko pamoja wazee wenzetu wa London, tatizo mna Mashabiki wenzenu mapimbi wanakuja kututukana kwenye nyuzi zetu bila sababu zozote za misingi.Kesho tuiombee Man City njaa
Kweli kabisa, pia kwa kipa pale pametanuka mnoBinafsi naona kama pale nyuma ndio pametanuka zaidi kwa sasa, kuanzia kwa Jojoba mpaka kwa Tomishaki.
Hahaaa tema nyongo ongeza siku za kuishi mkuuKweli kabisa, pia kwa kipa pale pametanuka mno
Ongeza sauti tusikie zaidi ikibidi tumia kipaza sauti
Ligi ndio imeanza hivyo.
.Leo wamepanuliwa....
Ukiona ambangire anasema atakayemaliza juu ya arsenal ni bingwa situka mapema [emoji2][emoji2][emoji2]
Endelea kusubr mpaka Yesu ashukeKesho tuiombee Man City njaa
Naona una raha sana mkuu,subir game yako iishe mkuuEndelea kusubr mpaka Yesu ashuke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watajisalimisha keaho.Arsenal tuwafuate uko juu au mnashuka wenyewe.
Karibu msibani mkuu,ila muda si mrefu tuna taarifa za msiba unaotarajia kutokeaNilisema hapa leo mkijitahidi ni sare nyie matakataka ni zali tu ndo limewabeba mpaka sasamnaongoza ligi ila uwezo wa kuchukua hamna