Tanzania Norway
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 338
- 658
Kwa binafsi sub amechelewesh na sub y ben white ilikuwa iwe ya kwanza kati ya sub zote....ila sio mbaya huwez shinda chochote bila vikwazo kam hvNinavyomjua Arteta atafanya sub dakika ya 80 huko badala ya kufanya sub mapema.
Mashabiki wa Chelsea FC, Liverpool FC, Man Utd FC na Mwa-City FC kujeni huku mcheue nyongo zenu msiseme sikuwaambia ila mi thimo...[emoji125] [emoji847]Aaron Arsenal pole kwa kuibiwa simu mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2506162
Aaron Arsenal pole kwa kuibiwa simu mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2506162
Kafanyaje tena huyo jamani?Agent Joginho well done!
Man cty ashinde keshoKesho tuiombee Man City njaa
Title contender ya nyoko [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisema haya maneno kabla ya mechi !!!
Top six sijui tuna gundu, mechi za mchana sio rafiki kwetu !
Timu mliyocheza nayo ina kocha mpya vijana Wana morali !
Anyway tumepata jinga la wiki !!!!
Granit, martineli, ben white na ode naona kiasi wamewaangusha, hawakuwa na game nzuri !
Nilifikiri angemtoa Granit aingie jorg lakini kamtoa partey , anyway kocha na benchi lake wanajua kuliko sisi !
Leo wamepanuliwa....Kikosi cha Arsenal kimetanuka ila sijui kimetanuka wapi
Binafsi naona kama pale nyuma ndio pametanuka zaidi kwa sasa, kuanzia kwa Jojina mpaka kwa Tomiyaki.Kikosi cha Arsenal kimetanuka ila sijui kimetanuka wapi