back4 nahs kwa poter atamchezesha double pivot mpaka kante atavorudFormation ipi itamfaa? Back 3 au 4?
Hii ndio shida ya kutosoma vizuri umeakatisha hiyo sentensi nimesema tangu aondoke Lampard hatujawahi kupata kiungo mkabaji mwenye uwezo wakupiga long passes sasa wewe ujamalizia hiyo sentensi yakoKwanza nimeishia hapo "toka aondoke Lampard hatuna kiungo mkabaji…. Blaaa blaa blaaa.
Yaan ukisikia chelsea na waingereza wanavyomzungumzia lampard na kama hukumuona akicheza basi unapata picha ya mido moja ya maana sana.Ila kama ulimuoana akicheza basi unabaki kunyamaza tu.English media hawajawahi kushindwa jambo lao.Wewe mpira ujui sisi tumesajili kutokana na uhitaji wetu kwenye hiyo nafasi kwa kuangalia je anasifa zakufit hiyo nafasi? Ndio maana tukaona mtu pekee anayetufaa ni Enzo.Tangu aondoke Lampard pale chelsea hatujawahi kupata kiungo mkabaji mwenye uwezo wakupiga long passes na Enzo ana hii sifa yupo vizuri Sana, sifa ya pili ya Enzo anajua kudominate game kupiga pass fupi fupi na ndefu za break up back line ya opponent, ana jua kufunga, press resistance mzuri, ana technical ability nzuri pia ana kasi, ana uwezo wa kukaba kwa eneo kubwa la Uwanja mwisho kabisa ni mpambanaji.
Kiufupi ana baadhi ya sifa ambazo viungo tulionao hawana Enzo ni midfielder ambaye yupo full package ndio maana tumetumia nguvu kubwa kumsajili na hiyo nguvu hatukuitumia kwa jao Caicedo kwasababu ubora wake upo kwenye kukaba Sana pekee lakini hana technical ability ya kudominate mechi na sio mzuri sana kwenye passes.
Aaron Arsenal
Castr
Will Jr
HENRY14
Mkuu unamkosea heshima Lampard kwanza ndio mchezaji mwenye magoal mengi zaidi wa muda wote wa team kubwa kama chelsea lakini pia ndio most assists wa muda wote wa chelsea utasemaje ni mchezaji wa kawaida na Tena anacheza nafasi ya chini no 8. Ukija kwenye takwimu za epl kwa ujumla Lampard ndio midfielder wa epl mwenye magoal mengi wa muda wote na kwenye upande wa most assists wa muda wote wa ligi kuu ya England Lampard anashika nafasi ya 4 wa kwanza ni Ryan Highs, wa pili Fabregas na watatu ni Rooney.Yaan ukisikia chelsea na waingereza wanavyomzungumzia lampard na kama hukumuona akicheza basi unapata picha ya mido moja ya maana sana.Ila kama ulimuoana akicheza basi unabaki kunyamaza tu.English media hawajawahi kushindwa jambo lao.
Tangu nimeanza kuangalia mpira kwa kuzingatia kwangu viungo wa kiingereza nao waheshimu sana ni paul scholes na jack wilshere.
Huyu wlishere alikuwa mwingereza mwenye akili mchanganyiko wa hispania na brazil.kama yasingekuwa majeruhi yaliyokatisha kipaji chake nawaambia waingereza wangempa mtaa kabisa
Ila nawaambia lampard alikuwa kiungo wa kawaida mnooo,sema tu kitu cha kipekee anachowazidi viungo wengi ni ile spirit ya kupambana na physicality yake.
Nawaambia yule mbrazil ramiles na essien walikuwa miles away kulinganisha na jamaaa
Mkuu unamkosea heshima Lampard kwanza ndio mchezaji mwenye magoal mengi zaidi wa muda wote wa team kubwa kama chelsea lakini pia ndio most assists wa muda wote wa chelsea utasemaje ni mchezaji wa kawaida? na Tena anacheza nafasi ya chini no 8. Ukija kwenye takwimu za epl kwa ujumla Lampard ndio midfielder wa epl mwenye magoal mengi wa muda wote na kwenye upande wa most assists wa muda wote wa ligi kuu ya England Lampard anashika nafasi ya 4 wa kwanza ni Ryan giggs, wa pili Fabregas na watatu ni RooneyYaan ukisikia chelsea na waingereza wanavyomzungumzia lampard na kama hukumuona akicheza basi unapata picha ya mido moja ya maana sana.Ila kama ulimuoana akicheza basi unabaki kunyamaza tu.English media hawajawahi kushindwa jambo lao.
Tangu nimeanza kuangalia mpira kwa kuzingatia kwangu viungo wa kiingereza nao waheshimu sana ni paul scholes na jack wilshere.
Huyu wlishere alikuwa mwingereza mwenye akili mchanganyiko wa hispania na brazil.kama yasingekuwa majeruhi yaliyokatisha kipaji chake nawaambia waingereza wangempa mtaa kabisa
Ila nawaambia lampard alikuwa kiungo wa kawaida mnooo,sema tu kitu cha kipekee anachowazidi viungo wengi ni ile spirit ya kupambana na physicality yake.
Nawaambia yule mbrazil ramiles na essien walikuwa miles away kulinganisha na jamaaa
toobiter fighting spirit na workrate ya Lampard ndiyo Casemiro sasa. Ukimuangalia anavyocheza unaona ari na positive energy huoni 1, 2 za mara kwa mara, forward runs za kutishia au kuhama na kijiji.Mkuu unamkosea heshima Lampard kwanza ndio mchezaji mwenye magoal mengi zaidi wa muda wote wa team kubwa kama chelsea lakini pia ndio most assists wa muda wote wa chelsea utasemaje ni mchezaji wa kawaida na Tena anacheza nafasi ya chini no 8. Ukija kwenye takwimu za epl kwa ujumla Lampard ndio midfielder wa epl mwenye magoal mengi wa muda wote na kwenye upande wa most assists wa muda wote wa ligi kuu ya England Lampard anashika nafasi ya 4 wa kwanza ni Ryan Highs, wa pili Fabregas na watatu ni Rooney
toobiter
Aaron Arsenal
Castr
wakibeba kombe lazma waje na posho kdogoWazee tuongezeeni pesa kidogo basi kwa Jorginho.
Acheni ubahili.
Kombe gan wanaweza kubeba hawa vilaza. Labda kombe la mapinduzi.wakibeba kombe lazma waje na posho kdogo
Kombe gan wanaweza kubeba hawa vilaza. Labda kombe la mapinduzi.
Anamkosea Sana heshima Super FrankMkuu unamkosea heshima Lampard kwanza ndio mchezaji mwenye magoal mengi zaidi wa muda wote wa team kubwa kama chelsea lakini pia ndio most assists wa muda wote wa chelsea utasemaje ni mchezaji wa kawaida na Tena anacheza nafasi ya chini no 8. Ukija kwenye takwimu za epl kwa ujumla Lampard ndio midfielder wa epl mwenye magoal mengi wa muda wote na kwenye upande wa most assists wa muda wote wa ligi kuu ya England Lampard anashika nafasi ya 4 wa kwanza ni Ryan Highs, wa pili Fabregas na watatu ni Rooney
toobiter
Aaron Arsenal
Castr
Jamaa angu una chuki Sana na sisiKombe gan wanaweza kubeba hawa vilaza. Labda kombe la mapinduzi.
Cozier Dubbery copy ya Saka hiVijana wa Academy ni mtaji wa kesho mazee, Ethan Nwaneri, Patino, Folarin Balogun, Cozier duberry wanajua mpira, big up kwa Wilshere & Metersacker. Hongera pia kwa Saka & Smith rowe kwa kuwapa imani ya kupambana hawa vijana.
Mpaka nimemshangaa jamaa kakariri wachezaji wa uingereza wanakuzwa hiyo kitu imekaa kwenye akili yake bila kuchuja mamboAnamkosea Sana heshima Super Frank
Huyu mwamba Ni moja ya Viungo bora kuwahi kutokea EPL
Kwanza haya ni maoni yangu tu kama mpenz wa mpira. Pili mimi ni mmoja wa watu wasioegemea sana kwenye takwimu katika kuamua ubora wa mchezaji.Mpaka nimemshangaa jamaa kakariri wachezaji wa uingereza wanakuzwa hiyo kitu imekaa kwenye akili yake bila kuchuja mambo
Tulishawapaga Ashley Cole na Emmanuel Petit.Ifike wakati na nyie mtuuzie wachezaji.
Sio kila msimu mchukue mashine zetu tuu.
Mwaka kesho hamkawii tena kuja kumchukua Kante.
Huyu jamaa anaweza kuscore kwa mwezi mfululizo mpaka mashabiki wanajisahau wanamuona mungu.Unganisha uchafu wenu wote Saka na Martinelli ndiyo umpate star boy Marcus Rashford.
View attachment 2504090
Mkuu unataka useme ukiwa auna pesa utakiwi kuvimba mjini mpaka upate pesa acha sisi tuvimbe ya kesho yatajisumbukiaHuyu jamaa anaweza kuscore kwa mwezi mfululizo mpaka mashabiki wanajisahau wanamuona mungu.
Maajabu yake mashabiki wa united dunia nzima hua hawajifunzi kwamba jamaa kiwango chake kina kifafa. Matokeo ndiyo haya mtu anakuja kuandika matusi hua hawajifunzi hawa