La kumuuza naliona si jema, atatufaa hapo mbeleni, akae to loan hata 2 seasons. Saliba case.Balogun kaweka goli
Mtoto ana balaa huyu
Arteta ataanza kufikiria kumrudisha au kumuuza kwa Bei nzuri
Na jinsi tulivyompata Enzo mbona patachimbika Ombeni tu mchukue tofauti na hapo Hili jukwaa mtaliona chunguWatu wanaumia mno Arsenal kuongoza ligi, hasa Manyumbu & chelwowo, siku tukianguka utaona matusi yatatolewa humu, kama tulivyokosa nafasi ya UEFA last season! Utaambiwa "tulijua tu", infact wanafki wanajulikana, kujikuta wanatoa sifa kumbe wanabadilika na upepo yaani bendera.
Game zimebaki 19, kila mechi fainali, Jesus yupo mbioni kurudi, hata hatujamkumbuka, so lets pray tuwashut up.
Mkataba wake unaisha 2025 , hawez kukubali Tena mikopo na ngumu kwa Arteta kumuhakikishia namba mbele ya Jesus, nketiah na TrossardLa kumuuza naliona si jema, atatufaa hapo mbeleni, akae to loan hata 2 seasons. Saliba case.
Anaweza kufanya Zile linkup play ,n.k Kama JesusHuyu ni kama Jesus.
"Tofauti na hapo hili jukwaa mtaliona chungu" kacheze na watoto wenzio huko mnapochezaga.Na jinsi tulivyompata Enzo mbona patachimbika Ombeni tu mchukue tofauti na hapo Hili jukwaa mtaliona chungu
Lile goli lilifanana sana na yale magoli ya Van persieHii ishakuwa Habari.
Hatuwezi kwenda kutoa 90 Sisi kununua mchezaji Wakati mchezaji wa 90 tunaye Sisi.
Anafika 20+ goals huyu dogo msimu huu
Yupo timu ya kawaida sana, anacheza na watoto wengi sana na anaonekana yeye kama Kaka .....
Jana goli la tatu Ile movement unaweza sema ni Henry yule pale ,even Nketiah can score that way.View attachment 2503468
Halafu ana utulivu wa kiwango cha SGR. Kuna moja aliwakosa kuwashona wakaokoa ndani ya 6.Hii ishakuwa Habari.
Hatuwezi kwenda kutoa 90 Sisi kununua mchezaji Wakati mchezaji wa 90 tunaye Sisi.
Anafika 20+ goals huyu dogo msimu huu
Yupo timu ya kawaida sana, anacheza na watoto wengi sana na anaonekana yeye kama Kaka .....
Jana goli la tatu Ile movement unaweza sema ni Henry yule pale ,even Nketiah can score that way.View attachment 2503468
Si anasema summer anawaclear kama 8 hivi.sas hivi pale chelsea ndio team ya kuokota wachezaj maana wamejaa kama wote
Enzo wa kawaida bwana, Bora mngeenda kumchukua savicWewe umemjua Enzo kwenye kombe la dunia ndio maana unakoment hovyo hujamwangalia akiwa na Benfica nini alikuwa anafanya UEFA champions league
Muda utaamua kwamba tunawachezaji wa kuokota au laah!sas hivi pale chelsea ndio team ya kuokota wachezaj maana wamejaa kama wote
Mje mchukue wakina Ziyech,Pulisic,Loftus cheek mtupe tu 80M kwa hao watatusas hivi pale chelsea ndio team ya kuokota wachezaj maana wamejaa kama wote
Wewe mpira ujui sisi tumesajili kutokana na uhitaji wetu kwenye hiyo nafasi kwa kuangalia je anasifa zakufit hiyo nafasi? Ndio maana tukaona mtu pekee anayetufaa ni Enzo.Tangu aondoke Lampard pale chelsea hatujawahi kupata kiungo mkabaji mwenye uwezo wakupiga long passes na Enzo ana hii sifa yupo vizuri Sana, sifa ya pili ya Enzo anajua kudominate game kupiga pass fupi fupi na ndefu za break up back line ya opponent, ana jua kufunga, press resistance mzuri, ana technical ability nzuri pia ana kasi, ana uwezo wa kukaba kwa eneo kubwa la Uwanja mwisho kabisa ni mpambanaji.Enzo wa kawaida bwana, Bora mngeenda kumchukua savic
Itabidi akomae mno. Ila naona anaweza akamchomoa Nketiah kuliko Jesus, Folarin uchezaji wake kwa 4 3 3 (false 9) ni mtu sahihi wakati Nketiah atastruggle.Anaweza kufanya Zile linkup play ,n.k Kama Jesus
Mbona Kama Ni complete CF zaidi, japo Hata pemben anaweza kutokea kiasi chake
Sikuwahi kuamini ila nilikuja kugundua Jesus kwenye Swala la finishing anazidiwa na nketiah
Kwa unavyomuangalia Balogun unamuona anaweza kutoboa mbele ya Jesus na Nketiah au Trossard?
Caicedo ni Kante.Wewe mpira ujui sisi tumesajili kutokana na uhitaji wetu kwenye hiyo nafasi kwa kuangalia je anasifa zakufit hiyo nafasi? Ndio maana tukaona mtu pekee anayetufaa ni Enzo.Tangu aondoke Lampard pale chelsea hatujawahi kupata kiungo mkabaji mwenye uwezo wakupiga long passes na Enzo ana hii sifa yupo vizuri Sana, sifa ya pili ya Enzo anajua kudominate game kupiga pass fupi fupi na ndefu za break up back line ya opponent, ana jua kufunga, press resistance mzuri, ana technical ability nzuri pia ana kasi, ana uwezo wa kukaba kwa eneo kubwa la Uwanja mwisho kabisa ni mpambanaji.
Kiufupi ana baadhi ya sifa ambazo viungo tulionao hawana Enzo ni midfielder ambaye yupo full package ndio maana tumetumia nguvu kubwa kumsajili na hiyo nguvu hatukuitumia kwa jao Caicedo kwasababu ubora wake upo kwenye kukaba Sana pekee lakini hana technical ability ya kudominate mechi na sio mzuri sana kwenye passes.
Aaron Arsenal
Castr
Will Jr
HENRY14
safari ipo ila n mtu sahihi kwa matakwa ya tm tokea fab aondoke tumekosa mtu anaeweza kupasua ukuta wa tm pnzan kwa kupenyeza pass ndefu naona kabx akifanikiwa kwa iloCaicedo ni Kante.
Ana balance timu ikienda mbele na ikirudi.
Enzo kwa clips nilizoona naona ana akili ya kushambulia zaidi, na kwakua chelsea mlisema hamna kiungo wa kupelekea mipira strikers nafikiri ndiyo maana mmemtaka Enzo kuliko Caicedo.
Sielewi kwanini unasema Enzo ni full package, mi nahisi Enzo bado ana safari ya kuhakikisha anashine.
Unavyojua kupuyanga mdomoni sasa khaaa,Timu ipo nafasi ya 10Wewe mpira ujui sisi tumesajili kutokana na uhitaji wetu kwenye hiyo nafasi kwa kuangalia je anasifa zakufit hiyo nafasi? Ndio maana tukaona mtu pekee anayetufaa ni Enzo.Tangu aondoke Lampard pale chelsea hatujawahi kupata kiungo mkabaji mwenye uwezo wakupiga long passes na Enzo ana hii sifa yupo vizuri Sana, sifa ya pili ya Enzo anajua kudominate game kupiga pass fupi fupi na ndefu za break up back line ya opponent, ana jua kufunga, press resistance mzuri, ana technical ability nzuri pia ana kasi, ana uwezo wa kukaba kwa eneo kubwa la Uwanja mwisho kabisa ni mpambanaji.
Kiufupi ana baadhi ya sifa ambazo viungo tulionao hawana Enzo ni midfielder ambaye yupo full package ndio maana tumetumia nguvu kubwa kumsajili na hiyo nguvu hatukuitumia kwa jao Caicedo kwasababu ubora wake upo kwenye kukaba Sana pekee lakini hana technical ability ya kudominate mechi na sio mzuri sana kwenye passes.
Aaron Arsenal
Castr
Will Jr
HENRY14
Formation ipi itamfaa? Back 3 au 4?safari ipo ila n mtu sahihi kwa matakwa ya tm tokea fab aondoke tumekosa mtu anaeweza kupasua ukuta wa tm pnzan kwa kupenyeza pass ndefu naona kabx akifanikiwa kwa ilo