Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hata 80 au 100 walishasema hauzwi ELEWA HiloTatizo lenu nyinyi hua mnadharau na kupenda kulianyau sana.
Mwanzo kabisa mnapeleka offer yenu ya eftatu, Brighton waliwakatalia na kuwaambia kua hawana mpango wa kumuuza, na endapo wakiamua kumuuza haitakua chini ya £80m.
Hamjakaa sawa eti mnapeleka offer nyingine ya eftatu mia tano kama sio dharau ni nini?
Trossard mmepewa kwa bei ya hisani baada ya kutofautiana na kocha wake, laiti mngekua wastaarabu mngewapa tu hio £80m mkamaliza biashara.
Ule ujinga uliofanyika kwenye offer Mudryck ndio ujinga huohuo mmeurudia tena kwenye offer ya Caicedo.
Anaelewa vzr Basi tuMkuu,
Hivi ulisoma kwamba Brighton waliweka wazi kuwa dogo hauzwi? Mtu akishasema hatuuzi hata uje na 100m atakuuzia?
Sema nyie mpo hapa kubishana na kuonyeshana nani zaidi kati ya Manure na Arsenal.
Epl sio bundesiligaYaani hatari sana, wapinzani wetu watajuta kwa nini Ericksen ameumia, maana huyu Sanitizer(Sabitzer) ni sawa na Ericksen watatu, yaani hapa nlipo natamani hata ligi irudiwe tuanze upya.
Everton hajawahi kuwa namadhara kwa arsenal tangu nianze kuangalia mpira, tangu enzi za moyes hata akiwa form vipi lakini anapigwa tuSean Dyche
Anapenda kutumia 4-4-2 low block toka yupo Burney
Tupo nae Jumamos Vs Everton
Mlikwama wapi kwenye dirisha la january
Moises Caicedo
Bei kubwa
Ivan Fresneda
Loan back hadi kiangazi kama sisi na Malo Gusto - Arsenal wakakataa
Mykhailo Mudryk
Bei kubwa
Martin Zubimendi
mchezaji aliamua kubaki Real Sociedad kumalizia msimu
Eduardo Camavinga
Real Madrid na mchezaji waligoma
Si wewe mwenyewe ndie ulietuaminisha hizi habari?Hata 80 au 100 walishasema hauzwi ELEWA Hilo
Wanasema wanataka kucheza michuano ya ulaya
Issue ya Mudrky tuliweka pesa sawa na waliyoweka Chelsea
Shakhtar wanasema Tulianza KUONGEA na mchezaji kabla yao
Pia Kuna siasa humo , Chelsea ataenda kucheza nao mechi ya hisani
Hata salary aliyoweka Chelsea inatofautiana na ya Arsenal £10k TU
Hii issue ya Caiced naona tangu tulituma offer ya kwanza na kuwa rejected nikahis tutarejea mwishon ila hali ikawa tofauti.Caicedo sio Bei kubwa Labda Kama umeamua kutofatilia
Soma hapa
Relationship between Brighton & Arsenal,has been damaged. Brighton were left irritated and perplexed after the 2nd bid as they felt Arsenal did not get the message that the player is not for sale.
The Athletic
Mudrky pia sio Bei kubwa Labda umeamua kudanganya au kufurahisha
Ofa aliyotoa Chelsea €100m ndio hiyo hiyo alitoa Arsenal €95-100m
Salary tofauti ilikuwa 10k
Soma hapa
Shakhtar Director
He claims Arsenal contacted Mudryk in "October or November" before formally contacting Shakthar. He has also revealed the Gunners offered the same amount as Chelsea, but the latter's proposal contained more "achievable and realistic" add-ons.
Kwa Fresneda na Zubimend na Camavinga upo sahihi [emoji817]
Huoni vyanzo hivo ? Sio Maneno yangu ,Si wewe mwenyewe ndie ulietuaminisha hizi habari? View attachment 2502691View attachment 2502692View attachment 2502693View attachment 2502694
Baada ya Chelsea kukataliwa £55m na hawakurudi Tena Ni dhahiri huyu mchezaji alikuwa HAUZWI TenaHii issue ya Caiced naona tangu tulituma offer ya kwanza na kuwa rejected nikahis tutarejea mwishon ila hali ikawa tofauti.
Jinsi Rui Costa alivyokuwa anatufanyia nikahisi hapa tutarudi kwa caicedo ila wapi nikaona kabisa kwa mara ya 1 viongozi wetu bado wamekomaa nae mda ulivyokuwa unaenda halaf Jorginho ashaondoka nikasema basi tumeisha.[emoji23]
Summer huenda tukarudi kwenye kutafuta kiungo 1 katika mchakato wa kuimprove kiungo chetu
Sioni shida hapa. Mahusiano yepi hayo na yakiharibika yatatudhuru vipi sisi? Hawa bado wadogo sana EPL na inaelekea Bado hawaelewi biashara inafanyikaje katika level hizi. Sisi wazoefu tunaelewa kuwa 'not for sale' means 'we want more money' so sisi tukaongeza pesa mezani. Huenda Kuna namna walitufanya tuamini kama wanatujaribu tu na watauza tukifika bei nzuri. Hii imetutokea hata sisi mara kibao tu. Sasa wamekataa tukakubali matokeo, maisha yakaendelea. Haya mambo ya mahusiano kuharibika ni kuwa wanaona tunawahitaji sana au? Waache Dua zao za kuku kwetu sisi mweweTHE ATHLETIC WANASEMA KUNA KILA DALILI MAHUSIHANO YA ARSENAL NA BRIGHTON YAMEVUNJIKA
Waliposema HAUZWI ,Arsenal wakafanya Dharau wakatuma ofa ya 2
Relationship between Brighton & Arsenal,has been damaged. Brighton were left irritated and perplexed after the 2nd bid as they felt Arsenal did not get the message that the player is not for sale.
View attachment 2502518
Wanatakiwa waelewe hiyo ni biashara kama biashara zingine tulienda kwao tukalipa pesa tukamchukua White nao Chelsea wakaja wakalipa wakamchukua Cucu na hivo hivo kwa caicedo watu watakuja watalipa wataondoka hiyo target yao ya kucheza michuano ya ulaya msimu ujao haituhusu tunatumia hela na wajue kwenye vilabu vidogo wachezaji wanapita tuu ndo maana dogo aliandika mitandaoni hadi mambo ya familia yake.Somfeioni shida hapa. Mahusiano yepi hayo na yakiharibika yatatudhuru vipi sisi? Hawa bado wadogo sana EPL na inaelekea Bado hawaelewi biashara inafanyikaje katika level hizi. Sisi wazoefu tunaelekea kuwa 'not for sale' means 'we want more money' so sisi tukaongeza pesa mezani. Huenda Kuna namna walitufanya tuamini kama wanatujaribu tu na watauza tukifika bei nzuri. Hii imetutokea hata sisi mara kibao tu. Sasa wamekataa tutakubali matokeo, maisha yakaendelea. Haya mambo ya mahusiano kuharibika ni kuwa wanaona tunawahitaji sana au? Waache Dua zao za kuku kwetu sisi mwewe
Yes. Tumewatajirisha sana tu hawa. Waione kama complement Kwa scouting team yaoWanatakiwa waelewe hiyo ni biashara kama biashara zingine tulienda kwao tukalipa pesa tukamchukua White nao Chelsea wakaja wakalipa wakamchukua Cucu na hivo hivo kwa caicedo watu watakuja watalipa wataondoka hiyo target yao ya kucheza michuano ya ulaya msimu ujao haituhusu tunatumia hela na wajue kwenye vilabu vidogo wachezaji wanapita tuu ndo maana dogo aliandika mitandaoni hadi mambo ya familia yake.
Dhahabu ikitokea watu wanaitolea macho Caicedo summer hii watu watagonga mlango sio tuu Arsenal hata Liverpool wanaotaka kurudi kwenye ushindani maana midfield yao imechoka haswa.