...dah,🙁 subiri jumatano baada ya kipenga cha mwisho nitakupa jibu muafaka, but definately Sitawa support Chelsea, hata wakicheza na 'X-PEL!'
... Inaonekana Jumanne ijayo ushajiaminisha, au sio?
Welcome back!
Kwakweli ulipotea jana yaani kama vile kilikuwa kipigo cha season?! asante kwa kukubali kushindwa na pia kuwa na matumaini kuwa mtashinda kule Emirates.
Mambo yote ni 5th May!..Its either Ars or Man Utd?!!!
BJ wewe ni GUNNERS au MANU? Maana nilidhani wewe ni wa kwetu au!? SAF ana wasiwasi ndiyo maana anaanza kubwata bila mpango anajua FA Cup kishaikosa sasa ana wasiwasi hakutakuwa na repeatition ya UEFA Cup. Siku hiyo GUNNERS tutandaza boli la uhakika na kuwachapa 2 mtungi. Hamna lenu mawaka huu MANU na mkizembea basi L'pool watawanyang'anya tonge mdomoni na kubaki mikono mitupu 🙂
Mambo vipi mzee wa jukwaa la mahusiano? Naona mnalalamika majeruhi majeruhi, wakati sie tunasumbuliwa na hiyo dhahama mlicheka.
Ila ngoma ya Chelsea ngumu, maana naona Xavi, Iniesta na the rest of Barca wanawaponda kweli kweli "kuwa hawakucheza soka".
BJ wewe ni GUNNERS au MANU? Maana nilidhani wewe ni wa kwetu au!? SAF ana wasiwasi ndiyo maana anaanza kubwata bila mpango anajua FA Cup kishaikosa sasa ana wasiwasi hakutakuwa na repeatition ya UEFA Cup. Siku hiyo GUNNERS tutandaza boli la uhakika na kuwachapa 2 mtungi. Hamna lenu mawaka huu MANU na mkizembea basi L'pool watawanyang'anya tonge mdomoni na kubaki mikono mitupu 🙂
Kwa hii line up na bench liliopo, hata draw itakuwa inalipa leo.....
Arsenal: Fabianski, Sagna, Song Billong, Djourou, Eboue, Walcott, Denilson, Ramsey, Arshavin, Bendtner, Vela. Subs: Mannone, Bischoff, Coquelin, Emmanuel-Thomas, Merida, Randall, Frimpong.
It looks like its gonna end 3-0 to the young guns! Pompey watajilaumu sana, hii ilikuwa nafasi ya kujihakikishia safety kwenye PL.
Almunia,Gibbs,Toure,Silvestre,Nasri,Fabregas,Adebayor wote benchi haya sisi tumeshamaliza kazi tunawasubiri Jumanne
utabiri mwingine bwana!!gunners hawatoki kwa portsmouth ... lol
Robin Van Persie na Rio Ferdinand watakuwepo
Mkuu,
Ferdinand alibadilishwa na Evans kwa hio labda atacheza au ataingia kipindi cha pili. Van Persie bado ana tatizo la groin kwa hio mzee Wenger bado mpaka asubuhi hii hana uhakika kama Van Persie aanze ili wacheze ule mtindo wa 4-4-2 ambao jana uliwafaa sana Arsenal dhidi ya Portsmouth.
Siku ile na ManU walicheza mtindo wa 4-2-3-1 ambao ulimwacha Adebayo peke yake mbele na hauku-create chance zozote.