Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,023
Mnadhani atawaokoa na kipondo mkija Emirates?Chelsea the big Football Club (FC) and it doesn't matter what the current situations it is passing through hence every big FC has already been experienced in long term investment with what we call it "Transition period"View attachment 2502093View attachment 2502095View attachment 2502096
Hebu tuondelee uchafu wenu!Chelsea the big Football Club (FC) and it doesn't matter what the current situations it is passing through hence every big FC has already been experienced in long term investment with what we call it "Transition period"View attachment 2502093View attachment 2502095View attachment 2502096
Achen mdomo aisee, huyo Marcel ana miaka 28 lakin alikuwa anakula bench na Hana namba ,Arsenyani mnatakiwa mchukue darasa hapa, tuition Chelsea.
View attachment 2502001
Endeleeni na wachezaji wenu wa mafungu, watu wanavunja vibubu. Mudryk, Enzo.Kuwa club kubwa siyo kuongoza ligi, kuna msimu Leicester pia alikuwa bingwa.
Ramli zenu tushazichokaNyie mbumbu fc. Kuongoza ligi sio kuchukua kombe, mmesikia.
Nuksi itaanza mwezi huu.
Ila Enzo yupo vzr Sana , Technician wa mpira , Labda Viungo wa pemben atakaocheza nao wamuangusheKuna mchezaji anaitwa James Rodriguez, mColombia, akasumbua sana kwenye WC watu wakasema kifaa hichi hapa.
Kikaenda Bayern kikaenda Madrid ila hakikung'aa kama kilivyong'aa WC. Na ile volley yake
Anyway, jana nilikua mtandao fulani hivi nikakuta wanamsifia Enzo na clip waliyoweka kwa 70% ilikua inatokea kombe la dunia la Qatar ambapo hiyo clip inaonyesha akipiga long balls tu na moja akifanya body faint.
Bora kaja EPL ili wote tuone.
Kama hivyo basi Chelsea imebakisha kufanya project yao imaterialize tu. On paper wana kila kitu tayariIla Enzo yupo vzr Sana , Technician wa mpira , Labda Viungo wa pemben atakaocheza nao wamuangushe
Enzo anacheza juu ya back 4 anakupa Defending , long balls ,huwezi kumpress kizembe
Ameanza kutajwa before world cup , World cup imekuja kumtambulisha rasmi
Ndio maana wengi wakitoka arsenal huwa wanajutaNIMEIPENDA SANA HII , HUWEZI KUMTUPA MTU KISA KAUMIA
#FC will trigger Mohamed Elneny's option for a one year contract extension despite Jorginho transfer. Popular member of the dressing room and highly valued for his experience and professionalism.
View attachment 2501976
Kama umeanza kumfatilia Enzo kupitia world cup sawa, ila kama unafatilia league zingine eithee kuangalia hata habar, or champions league kama ulikuwa unafatilia hata game yao vs Benfica utakuwa ushakutana na jina la EnzoKuna mchezaji anaitwa James Rodriguez, mColombia, akasumbua sana kwenye WC watu wakasema kifaa hichi hapa.
Kikaenda Bayern kikaenda Madrid ila hakikung'aa kama kilivyong'aa WC. Na ile volley yake
Anyway, jana nilikua mtandao fulani hivi nikakuta wanamsifia Enzo na clip waliyoweka kwa 70% ilikua inatokea kombe la dunia la Qatar ambapo hiyo clip inaonyesha akipiga long balls tu na moja akifanya body faint.
Bora kaja EPL ili wote tuone.
Wanahitaji kocha Sasa anayeweza kuunganisha timu kwa usahihiKama hivyo basi Chelsea imebakisha kufanya project yao imaterialize tu. On paper wana kila kitu tayari
Nimeipenda hiyo, Arteta anampenda Sana ElnenyNdio maana wengi wakitoka arsenal huwa wanajuta
Na ata wakiwa katika timu zingine lakini anakua bado na upendo mkubwa kwa arsenal
Eg Sanchez
Nilikuwa World cup nashabikia Argentina , walipopigwa game ya Kwanza , nikaacha kuwaangalia ,game ya 2 akawekwa Enzo, halafu De Paul akawa anakabia juuKama umeanza kumfatilia Enzo kupitia world cup sawa, ila kama unafatilia league zingine eithee kuangalia hata habar, or champions league kama ulikuwa unafatilia hata game yao vs Benfica utakuwa ushakutana na jina la Enzo
Aisee tuongezeeni pesa kidogo basi kwa Jorginho
Acheni ubahili
Nimeeleweshwa chief. UsikasirikeKama umeanza kumfatilia Enzo kupitia world cup sawa, ila kama unafatilia league zingine eithee kuangalia hata habar, or champions league kama ulikuwa unafatilia hata game yao vs Benfica utakuwa ushakutana na jina la Enzo