Arsenal (The Gunners) | Special Thread

NA
Nakumbuka Aaron aliwahi kusema sambi Sasa ni 8 siyo 6 tena
 
Our worst ten games. Odegaard alikua wapi?

Na hili sitakuja kulificha juu ya Ramsdale na nimesema mara zote yeye siyo shot stopper hutaki kaa kushoto.
Unaongea pumba nyingi,hii Ni project yenye process ulitaka odegad abebe timu Wakati Hain wachezaj wa kuibuildup nyuma
Ndio maana nasema mpira hujui
Ramsdale takwimu zinasema Ni shot stopper mzuri Tena yupo juu
Mech na Spurs kafanya save za hatari kibao
Leo unasema sio shot stopper
Kubali kula matapishi yako
 
Umemjibu kwa data Cha ajabu atapingana na data
 
Ramsdale is good attack wise. Anamzidi Leno kwenye footwork na punt kicks so hichi ndicho kimempa namba pale.
Kwa hiyo walikuwa sahihi kumruhusu Leno asepe au vipi? Maana yangu ni kwamba, anachooffer Rams ni zaidi ya Leno?
 
Yeah kila mtu anakosea ndiyo mbona nimesema
Hakuna sajili za Arteta umewahi kuzikubali Ni kuponda tu
Unazidi kuaibika
Leo unasema Ramsdale sio shot stopper
Na Spurs ulidai lolis mzuri zaidi akachoma
Na anaongoza kwa kuchoma kuliko makipa wote epl
Unapenda vibovu
 
Arsenal Defensive Midfielders Thomas Partey na Jorginho, Granit Xhaka Mohammed Elneny (majeruhi).

Xhaka amesogezwa mbele kuwa Central Midfielder

CM ni Martin Odegaard, Fabio Vieira, Emily Smith Rowe na Bukayo Saka.

Arsenal ina wachezaji wa kiungo 8
 
Distance covered in terms ya kukimbia au umbali aliocover? Nitofautishie hapa. Coz in terms of kukimbia wa kwanza atakua Caicedo. Ila pitch coverage yeyote aweza zidi.

Nimeona stats nyingi leo zinazoonyesha Jorginho is better than Partey and miles better than any CM wa Chelsea. Considering chini yA potter hajacheza mechi nyingi kuna uwezekano kwamba hizi stats ni nzuri under mechi chache?

Wewe umeamua kuleta za msimu uliopita, sijui kwanini umeamua hivyo ila sioni kama natakiwa rely kwenye stats za msimu uliopita kwaajili ya msimu huu.
 
Umeshindwa hoja umeanza matusi.

Unaona ulivyokua mpuuzi?
 
Nimesema jamaa yuko slow, hana pace, mzito kwenye decision making.

Wewe sasa usikomae na benchi limesema. Nijibu wewe kwa kutumia akili zako kwamba nimekosea kwa sababu hizi hapa.

Hoja ya benchi limesema ni hoja ya wafuatilia mpira livescore
Unatuongopea data zao hizi hapa
Hizo Sifa unazomsingizia Jojinho Ni za lokonga
 
Kwa hiyo walikuwa sahihi kumruhusu Leno asepe au vipi? Maana yangu ni kwamba, anachooffer Rams ni zaidi ya Leno?
Considering Arsenal ilitaka iwe inapossess mpira mara zote uamuzi ulikua sawa.
 
Distance covered ni umekimbia umbali gani pale dimbani hivyo yageuzwa kuwa Kms.

Hata kwenye tennis ni hivyohivyo si wapima kitenesi kimeruka umbali gani kwa kms?

Hivi ni vipimo vitumikavyo.

Pili, hizo stats zimetumika za 21/22 kwasababu wanaangalia mechi ambazo wachezaji hao wamecheza kwa msimu mzima wa 21/22

Pia ni kwa kuzingatia kuwa kabla Jorginho hajaanza kusugua bench.

Kumbuka tunaangalia kwanini ni Jorginho ndilo suali lako la msingi.
 
Nikikumbuka Sajili za Mikel zilivyotukanwa na kubezwa na pale alivyowapa jezi no. 7 na 10 Saka na Smith Rowe alivyoshambuliwa ,nabaki nacheka tu

Aaron Ramsdale alifunga had social media


Ninachompendea Mikel hajawahi kusikiliza makelele

Alimuondoa Auba ,laca ,ozil ,Guendoz ,na makelele yalikuwa kibao

Alimpa nafasi Nketiah na kumpiga chini lacazette hakumsikiliza mtu

Huyo Ndiye Mikel ninayemjua mimi
 
Considering Arsenal ilitaka iwe inapossess mpira mara zote uamuzi ulikua sawa.
Okay, lakini pia jinsi tunamtizama Joginho ni kama tunaongelea competitor wa Partey, je anakuja kama competitor wa Partey, future ya Arsenal au he's just there to cover for a season or so? Na kama anakuja kama cover ya DM kwa short term kwa nini tunambrand kama failure?
 
Kuna mwana anazunguka na screenshot fulani hivi akiclaim Jorginho is better than Partey. Sielewi kwaninj mtu unaamua kujenga hoja kisha unarely kwenye kadude umekatoa twitter na hata kuprove hutaki?

 
We've never been lucky with Chelsea veterans. Hao Chelsea wenyewe walishaamua akae benchi and this is what divides fanbase.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…