Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lokonga ndio maana amepelekwa hapo hapo EPL Kuna vitu ana mis ,na timu kwasasa haina muda wakumsubiri tunahitaji kupigania Epl sio kwa kubahatisha
 
Great deal? Maybe sababu ni Bora kuliko Wale mizigo yaani Elneny na Lokonga.

Great deal sababu at least amesajiliwa mtu kuliko tusingesajili kabisa.

Ila kutoka kwenye kumsajili zubimendi/Caceido/Rice Hadi kumsajili Jorginho imeonekana ni failure.
Toa sababu za kiufundi mkuu. Lakini kumbuka kila mtu anasema usajili wa January ni mgumu coz hakuna timu inataka kuharibu mipango yake katikati ya msimu.

Swali lingine, Joginho amekuja kama backup ya Partey au competitor wake? Tukipata jibu lake hapo tunaweza kuendelea na mjadala.
 
Huna akili kumzidi Arteta aliyetengeneza competitive team ,leo umpangie Nani amsajili Nani asimsajili ,nasema huna unachomzidi Arteta


Wachezaji na Staff wamefurahi ujio wake , wewe endelea kulalamika
Wewe nimekuzoea uliwahi sema Felix hafai kwenye mfumo ila ukaja kupost humu kuwa tunamfukuzia. Ulidai tunamsajili Danilo ila ghafla akapotezewa. Uliwahi sema Lokonga kaletwa kama back up ya Partey Leo unadai eti hakuja kama DM.

So siwezi bishana na wewe maana ni mouthpiece ya Arteta hauna objectivity yoyote kwenye uchambuzi una bias eti kisa Arteta!!
 
Wewe endelea kupinga pinga maana ndiyo jadi yenu Chadema


Cry more

Jorginho atavaa jez no.20

Wachezaji na Staff pamoja na Arteta wamefurahi ,anajiandaa na mechi Jumamosi Vs Everton


Cry more ,sitakujibu Tena
 
Leta maoni yako uliyotoa ,

Lokonga alisajiriwa Kama mchezaji potential ,Ni kawaida kutofikia

Arteta na Edu maamuz na sajili zao wamefanikiwa kwa 80%, usijipe umuhimu usiokuwa nao
Wewe nilikwambia hatuna depth ya LCB ukanitukana weeee mbona Sasa wamesajili LCB? After all tulimfukuzia RB yule Fresneda.

Mimi niliongelea Hilo suala October mkadai sijui lolote mara Kuna combination sijui Tomi ni LCB mara hatuhitaji RB maana tuna White na kelele kibao.

Sasa mbona wamesaji LCB January? Means niliona tatizo kabla ya nyie mashabiki uchwara. So huyo Arteta sio malaika kwamba anajua Kila kitu otherwise asingefukuzia RB na LCB January instead of last August when the problem was imminent!!
 
Pep inasemekana hapatani na Bernado ,kama ilivyo kwa Cancelo ambaye amesepa


| BREAKING: Bernardo Silva has decided to leave Manchester City, like João Cancelo! He wants to join FC Barcelona NOW.
@gerardromero [
]
 
Mimi nishaacha kukujibu maana huna ujualo, tulikwambia LCB sio Kipaumbele Kama LW , na DM


Kipaumbele ilikuwa LW kuliko LCB na DM sababu Kuna watu wanaweza kucheza hizo nafasi


Na DM ameletwa sababu ya kuumia Elneny ,ukakomaa DM lazima aje ,Wakati Kuna Elneny


Mimi nilishaacha kukujibu ,ila una Ni quote ovyo ovyo ,
 
Wewe endelea kupinga pinga maana ndiyo jadi yenu Chadema


Cry more

Jorginho atavaa jez no.20

Wachezaji na Staff pamoja na Arteta wamefurahi ,anajiandaa na mechi Jumamosi Vs Everton


Cry more ,sitakujibu Tena
Nilie ya Nini Sasa? Kwani mara ngapi umeumbuka humu. Hakuna kitu nimewahi sema kikabugi humu.

Danilo uliumbuka
Ujio wa Kiwior uliumbuka
Kumfukuzia Fresneda uliumbuka
Felix uliumbuka
Lokonga uliumbuka

So hakuna ulilowahi debate na Mimi ukafanikiwa. So nshakudharau kitambo tu. Tokea jukwaa la intelligence ulikua na ubishi wa KISABATO wakati ulikua hujui lolote kuhusu bible.

Angalia comments za watu about you wote wanakuona delusional. JITAFAKARI
 

Bora hata useme hilo kaka
 
Ok nimeumbuka , mbona unanifatilia Sasa

Najua unatafutaga Ligi na Mimi , huo muda Sina ,

Naona chuki zako juu yangu zitakuua , nikikaa mbali na wewe unanifatilia ,
 

😂😂😂 Lokonga kule cheap labour wengi anaenda kufundishwa kuzuia sasa
 
Pep inasemekana hapatani na Bernado ,kama ilivyo kwa Cancelo ambaye amesepa


| BREAKING: Bernardo Silva has decided to leave Manchester City, like João Cancelo! He wants to join FC Barcelona NOW.
@gerardromero [
]
Hii inakuwa Ile vita ya panzi faida Kwa kunguru. Hapo Manchester United wanafurahi sana maana wataona nafasi ya kuipambania nafasi ya 2.
 
Pep inasemekana hapatani na Bernado ,kama ilivyo kwa Cancelo ambaye amesepa


| BREAKING: Bernardo Silva has decided to leave Manchester City, like João Cancelo! He wants to join FC Barcelona NOW.
@gerardromero [
]
Naona kabisa Summer Pep akipitisha fagio na kuleta wachezaj wengine sio kama 3-5
 
As reported earlier, Arsenal have not completely walked away from a deal for Caicedo yet


Theres is a VERY SMALL chance Arsenal do launch a third bid and test Brightons resolve. Developments needed soon to give this deal any chance. Still one to watch
 
Stan Kroenke has given the green light for Arsenal to submit one final bid for Moises Caicedo to get a deal over the line. But Brighton say NOT FOR SALE


[Mark Irwin/Sun Sport].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…