Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hivi, Is Lokonga that bad? Au mimi sijui kuangalia mpira?Usirudie kunambia napayuka tunapokinzana mawazo, acha kuwa mpumbavu, jaribu kukua kiakili na kifikra na kimawazo.
Hata Willian na Lokonga waliletwa na kocha.
Nikikumbuka mlikuwa mnakuja jukwaa la chelsea na kumtukana Jorginho aisee nachoka.
Hatutaki tena. Tukutane mwisho wa msimu. Wanaona tushapata solution nyengine ndo wanalegeza vikwazo.|| Arsenal still in for Moisés Caidedo and could strike a deal if Brighton soften their stance [Via - @SkySportsNews].
Litokee saivi tu, maana kinachonishangaza why tumemuachia Lokonga na hapo Elneny ni majeruhi, tumetoa viungo wawili alf tunaleta mmja .|| Arsenal still in for Moisés Caidedo and could strike a deal if Brighton soften their stance [Via - @SkySportsNews].
Umeweka vema sana kaka. Tulihitaji mtu wa kaliba yake. Mbona pale mpo na Eriksen na kinawakahawahawa ndio waliokua pia wanatecheka, dhihaki na kutukejeli Man Utd kuhusu Silvester halafu mwisho wa siku mzee Wenger akawalisha matapishi yao.
Ila Joginah yupo vizuri tu, mimi nina uhakika chini ya Arteta atakiwasha kwelikweli mpaka mashabiki wenyewe wa Arsenal watalazimisha aongezewe mkataba.
Cry more , Jorginho kashatua
kashapewa jezi no 20 ,amejiunga na wachezaji wenzake Mazoezini kujiandaa na mechi Jumamosi na Everton
Nawashangaa humu, haohao waliokua wanamtukana Tambi za Ukonga sasa hivi wanalalamika kwa nini ameondoka?Umeweka vema sana kaka. Tulihitaji mtu wa kaliba yake. Mbona pale mpo na Eriksen na kinawaka
Huyo ni pro Arteta na anatumia hisia kuliko facts, kwake yeye anamuona Arteta ni malaika anayejua Kila kitu ila maoni ya mashabiki ni "kelele" tu.Usirudie kunambia napayuka tunapokinzana mawazo, acha kuwa mpumbavu, jaribu kukua kiakili na kifikra na kimawazo.
Hata Willian na Lokonga waliletwa na kocha.
Wewe jamaa ndio maana yule jamaa anakutukana matusi makubwa , lini mashabiki wa Arsenal walimtukana jorginho ? Mchezaji wa Chelsea atukanwe na mashabiki wa Arsenal ,hebu acheni kutafuta Kiki humuhawahawa ndio waliokua pia wanatucheka, dhihaki na kutukejeli Man Utd kuhusu Silvester halafu mwisho wa siku mzee Wenger akawalisha matapishi yao.
Ila Joginah yupo vizuri tu, mimi nina uhakika chini ya Arteta atakiwasha kwelikweli mpaka mashabiki wenyewe wa Arsenal watalazimisha aongezewe mkataba.
Hata Jesus wakati anasajiliwa kulikua na mashabiki kibao humu walikua wanaponda usajili wake, lakini baadae wenyewe wakakubali balaa lake.
Ni suala la muda tu, itafikia wakati humu kila mtu ataimba jina la Jorjinah kama linavyoimbwa jina la Jesus.
Kwani Jorginho wa 2019 ndio Jorginho wa 2023? Miaka 4 ni mingi sana mkuu mambo mengi yameshapita hapo kati.MANENO YA MIKEL MWAKA 2019 akiwa City
Mikel Arteta:
“Our position has changed. There are teams that want to play with a single defensive midfielder...
Not City. Other teams that role is not as defined and we are losing the idea of having one who plays there – the Jorginho or Busquets type, that I love...”
#MCFCView attachment 2501432
Acha ushabiki maandazi ,Huyo ni pro Arteta na anatumia hisia kuliko facts, kwake yeye anamuona Arteta ni malaika anayejua Kila kitu ila maoni ya mashabiki ni "kelele" tu.
Kama nyie mlivyotutupia matusi kwa Auba tulivyomtema mkamchukuwa ikala kwenuNikikumbuka mlikuwa mnakuja jukwaa la chelsea na kumtukana Jorginho aisee nachoka.
Lakini media nyingi za uingereza zimeona its a great deal. Sijui nyie kwa nini mnaona Edu na Arteta wameboronga.Huyo ni pro Arteta na anatumia hisia kuliko facts, kwake yeye anamuona Arteta ni malaika anayejua Kila kitu ila maoni ya mashabiki ni "kelele" tu.
Yule sio mchezaji Mpira kabisa nadhani alisajiliwa kwa mihemko tu. Kipindi anasajiliwa tulitoa maoni yetu ila tukatukanwa sana kuwa hatujui lolote.Hivi, Is Lokonga that bad? Au mimi sijui kuangalia mpira?
Huna akili kumzidi Arteta aliyetengeneza competitive team ,leo umpangie Nani amsajili Nani asimsajili ,nasema huna unachomzidi ArtetaKwani Jorginho wa 2019 ndio Jorginho wa 2023? Miaka 4 ni mingi sana mkuu mambo mengi yameshapita hapo kati.
Leta maoni yako uliyotoa ,Yule sio mchezaji Mpira kabisa nadhani alisajiliwa kwa mihemko tu. Kipindi anasajiliwa tulitoa maoni yetu ila tukatukanwa sana kuwa hatujui lolote.
Great deal? Maybe sababu ni Bora kuliko Wale mizigo yaani Elneny na Lokonga.Lakini media nyingi za uingereza zimeona its a great deal. Sijui nyie kwa nini mnaona Edu na Arteta wameboronga.
Kwamba Lokonga sio mchezaji? Guys labda mimi sijawahi kuujua mpira, hata Xhaka kuna kipindi tulisema ni shyte tu, leo hii kila mtu kimya. My opinion is, Lokonga ji bonge la mchezaji, bado kijana ndogo na anajifunza, huenda akibadilishwa namna ya uchezaji akawa vizuri zaidi.Yule sio mchezaji Mpira kabisa nadhani alisajiliwa kwa mihemko tu. Kipindi anasajiliwa tulitoa maoni yetu ila tukatukanwa sana kuwa hatujui lolote.
Wachezaji na Staff na Bench wamefurahishwa na ujio wakeLakini media nyingi za uingereza zimeona its a great deal. Sijui nyie kwa nini mnaona Edu na Arteta wameboronga.