Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Cry more , Jorginho kashatuaWewe ndiye mwenye mihemko, kila andishi lako humu limejaa mihemko, nimewahi kukuambia unahitaji kusikia tu Arsenal imesajili pasipo yakutumia akili nani anasajiliwa. Toa boliti kwenye jicho lako!
Kila anayatakiwa wewe husema ni mzuri, atatufaa na bla bla bla nyingi sana, sasa hivi kila sehemu ya Jorginho unaandika "Arteta Alimtaka"!
Lokonga sihesabu kama mchezaji, hakukuwa na ulazima wa kuchukua Jorginho the worst and older player wakati kuna options zaidi.
Hata Sanchez aliwahi kuwa top 5 kwenye Ballon'dor list na alikuwa kuwa claimed kama 3rd best nyuma ya Messi na Ronaldo akiwa Arsenal.
Hamnaga shukrani nyie , nyie mnajua kuliko Arteta na Edu [emoji780]Wewe ndiye mwenye mihemko, kila andishi lako humu limejaa mihemko, nimewahi kukuambia unahitaji kusikia tu Arsenal imesajili pasipo yakutumia akili nani anasajiliwa. Toa boliti kwenye jicho lako!
Kila anayatakiwa wewe husema ni mzuri, atatufaa na bla bla bla nyingi sana, sasa hivi kila sehemu ya Jorginho unaandika "Arteta Alimtaka"!
Lokonga sihesabu kama mchezaji, hakukuwa na ulazima wa kuchukua Jorginho the worst and older player wakati kuna options zaidi.
Hata Sanchez aliwahi kuwa top 5 kwenye Ballon'dor list na alikuwa kuwa claimed kama 3rd best nyuma ya Messi na Ronaldo akiwa Arsenal.
hawajitambui na ukichunguza hao hao ndowalikua wanasema ARTETA out kipindi kileMmegawanyika, baadhi yenu mnaona Jorg ameshaisha Hana lolote jipya Tena ,,,,
Chelsea kule alikuwa anatukanwa kila siku, Hana pace, back passes kila Mara, mistake nyingi zinaanzia kwake n.k n.k !
Swali , kwa mnaomkubali, kwa Nini mnatumia nguvu nyingi kumtetea ?
Binafsi naona kwa kipindi hiki ambacho mo Ni majeruhi, Sambi haeleweki Ni back up nzuri kwa Thomas,,,, ila mjue jorg wa sarri sio huyu wa sasa hivi ,,, !
Usirudie kunambia napayuka tunapokinzana mawazo, acha kuwa mpumbavu, jaribu kukua kiakili na kifikra na kimawazo.Wachezaji na Staff wamemfurahia ,wewe unapayuka unasema hafai ,ngoja nikuache maana ndio kawaida yenu
Kwa akili yako Jorginho kajileta bila kocha?
Wanaomtukana Jorginho Ni mashabiki wa Chelsea ,Sasa Jorginho akifanya vibaya kwenu sindio furaha ya wapinzaniNikikumbuka mlikuwa mnakuja jukwaa la chelsea na kumtukana Jorginho aisee nachoka.
Mkuu haina haja ya kutumia harsh language, kwani wewe ulikuwa unapendekeza option ipi tofauti na Jorginho Kwa mtazamo wako?Wewe ndiye mwenye mihemko, kila andishi lako humu limejaa mihemko, nimewahi kukuambia unahitaji kusikia tu Arsenal imesajili pasipo yakutumia akili nani anasajiliwa. Toa boliti kwenye jicho lako!
Kila anayatakiwa wewe husema ni mzuri, atatufaa na bla bla bla nyingi sana, sasa hivi kila sehemu ya Jorginho unaandika "Arteta Alimtaka"!
Lokonga sihesabu kama mchezaji, hakukuwa na ulazima wa kuchukua Jorginho the worst and older player wakati kuna options zaidi.
Hata Sanchez aliwahi kuwa top 5 kwenye Ballon'dor list na alikuwa kuwa claimed kama 3rd best nyuma ya Messi na Ronaldo akiwa Arsenal.
Lokonga hakupaswa kuondoka tuna midfield players wachache sana!!!Charles Watts :
" Sambi Lokonga joining Crystal Palace on loan is surprising in many ways especially with the injury of Mohamed Elneny
Yah ndio anachomaanisha Charles wattsLokonga hakupaswa kuondoka tuna midfield players wachache sana!!!