Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
System ya Chelsea sio rafiki kwa Jorginho ,Mbona Jorginho anampita Partey kwenye idara nyingi tu na sisi Chelsea tulimuona kama ndie hafai pale katikati? Takwimu saa nyingine bana, acha tu. Nadhani inayomuangusha Jorginho ni mistakes anazofanya na back passes nyingi
View attachment 2501309
Jion watamtangazaBado sijaona kitu kuhusu Jorginho Arsenal.com hivyo siweki high hopes
Tuache mihemko , Jorginho amekuwa mbovu kiasi hicho?Mtu mwenye akili timamu yeyote huu ndio mfumo alternative, unamtumia Ben White kwenye mechi zenye physicality kama Crystal Palace, Southampton na Brentford.
Huku mechi nyingine anatumika Zinchenko na Kiwior hii ndio maana ya backup, Partey na Xhaka bado hawajaumia wala kuwa suspended.
Imebaki michezo 26 hivyo ikitokea leo asianze Partey hadi msimu unaisha hao wachezaji watatu kila mmoja atacheza michezo 8 katika mashindao mawili.
Jorginho is the worst deal in history of this club and also is a sabotage plan, Edu hastahili kuwa Arsenal kuanzia tarehe 1 February!
Jorginho sio panic buy, amekuwa kwenye Mipango yake toka anafika Arsenal ,Mkuu una maoni Gani? Jorginho ni part of Arteta plan? Kuna wakati panic buys hazikwepeki kabisa. Nimpongeze Arteta kwa hili hata kama kanunua mzigo!!
Tumekubali tumepigwa ila akiperform tutapoa tu
Pale Chelsea?? Hivi kweli Chelsea ndio timu ya kusema ukiwa best midfielder basi utakua better kwingine? Jamaa ana 31!! Atakua deadweight kama Auba sio muda mrefu na atashindwa kuuzika.Ndiye kamtaka ,Ni mchezaji aliyemtaka since 2020
Pale Chelsea kwa takwimu hakuna Kiungo anayemzidi JorginhoView attachment 2501311
Mtu mwenye akili timamu yeyote huu ndio mfumo alternative, unamtumia Ben White kwenye mechi zenye physicality kama Crystal Palace, Southampton na Brentford.
Huku mechi nyingine anatumika Zinchenko na Kiwior hii ndio maana ya backup, Partey na Xhaka bado hawajaumia wala kuwa suspended.
Imebaki michezo 26 hivyo ikitokea leo asianze Partey hadi msimu unaisha hao wachezaji watatu kila mmoja atacheza michezo 8 katika mashindao mawili.
Jorginho is the worst deal in history of this club and also is a sabotage plan, Edu hastahili kuwa Arsenal kuanzia tarehe 1 February!
Bado sijaona kitu kuhusu Jorginho Arsenal.com hivyo siweki high hopes
Aaaah sio kweli Caicedo is better than Lokonga na Elneny hiyo Iko wazi so hauwezi sema jorginho angekuja if at all Caicedo angenunuliwa.Jorginho sio panic buy, amekuwa kwenye Mipango yake toka anafika Arsenal ,
Caicedo alikuwa top priority Baada yakuumia Elneny juz hapa ,mpango ulikuwa tumalize msimu na Partey na Elneny tu ,
Kuumia kwa Elneny kumefanya uibuke mjadala wa Caicedo ambaye imeshindikana ,
Jorginho Ni mchezaji ambaye Arteta anamtaka , panic buy Ni Kununua mchezaji hakuwa kwenye Mipango yako
Edu ndiye finalizer ndio maana ya kuwa Sporting Director na sio tu kwamba ni SD, amewahi kuwa mchezaji mkubwa duniani kuona anapatisha upuuzi wakati ananafasi nzuri ya maamuzi inaonesha hafai na ameshindwa kujifunza kutokana na makosa yake.Why kwenye signing nzuri mnamsifia Arteta alafu kwenye majanga mnamuweka Edu? Hivi si Arteta ndio alimsajili Willian na Tavares? Nadhani tusimfanye ni malaika hapa kachemka ila nampongeza kwa ujasiri huu na kuacha kiburi kilichotucost last january
Sidhan Kama Arsenal wamemsajili ili wamuuze, wamemsajili awe cover ya Partey maana Elneny kuumia had mwisho wa msimu,Pale Chelsea?? Hivi kweli Chelsea ndio timu ya kusema ukiwa best midfielder basi utakua better kwingine? Jamaa ana 31!! Atakua deadweight kama Auba sio muda mrefu na atashindwa kuuzika.
Aaaah sio kweli Caicedo is better than Lokonga na Elneny hiyo Iko wazi so hauwezi sema jorginho angekuja if at all Caicedo angenunuliwa.
Tukubali tu hii ni panic buy, inaweza kutusaidia sababu tu he's better than elneny na Lokonga (ambao ni mizigo) ila kusema alikua kwenye mipango sio kweli.
Yasije kutukuta ya Willian
Official: #mufc confirm Christian Eriksen will be out until late April or early May with an ankle injurySawa.
Labda Kama Ni mgeni na fanbaseMmegawanyika, baadhi yenu mnaona Jorg ameshaisha Hana lolote jipya Tena ,,,,
Chelsea kule alikuwa anatukanwa kila siku, Hana pace, back passes kila Mara, mistake nyingi zinaanzia kwake n.k n.k !
Swali , kwa mnaomkubali, kwa Nini mnatumia nguvu nyingi kumtetea ?
Binafsi naona kwa kipindi hiki ambacho mo Ni majeruhi, Sambi haeleweki Ni back up nzuri kwa Thomas,,,, ila mjue jorg wa sarri sio huyu wa sasa hivi ,,, !
Wewe ndiye mwenye mihemko, kila andishi lako humu limejaa mihemko, nimewahi kukuambia unahitaji kusikia tu Arsenal imesajili pasipo yakutumia akili nani anasajiliwa. Toa boliti kwenye jicho lako!Tuache mihemko , Jorginho amekuwa mbovu kiasi hicho?
Yaan upo tayari twende roond ya 2 na DM kiraka White ? Lini ulimuona White akicheza DM hapo Arsenal toka aje?
Kuna sehemu zakufanyie rotation ,sio Kiungo
Ndio maana maeneo yote tumeweka Vijana Hadi wa miaka 20 ,Ila pale kwenye MIDFIELDERS Kuna wanaume wawili XHAKA NA PARTEY
White kacheza Kiungo kwa Bielsa huko,
Kaumia Elneny ,tunabaki na Partey tu
Kumbuka Huyo Lokonga sio DM anawekwa tu pale ...
Sasa Jorginho huyu aliyetaka had kupewa ballon dor unavyomzungumza like Kama Hajui mpira kabisa
Wachezaji na Staff wamemfurahia ,wewe unapayuka unasema hafai ,ngoja nikuache maana ndio kawaida yenuWewe ndiye mwenye mihemko, kila andishi lako humu limejaa mihemko, nimewahi kukuambia unahitaji kusikia tu Arsenal imesajili pasipo yakutumia akili nani anasajiliwa. Toa boliti kwenye jicho lako!
Kila anayatakiwa wewe husema ni mzuri, atatufaa na bla bla bla nyingi sana, sasa hivi kila sehemu ya Jorginho unaandika "Arteta Alimtaka"!
Lokonga sihesabu kama mchezaji, hakukuwa na ulazima wa kuchukua Jorginho the worst and older player wakati kuna options zaidi.
Hata Sanchez aliwahi kuwa top 5 kwenye Ballon'dor list na alikuwa kuwa claimed kama 3rd best nyuma ya Messi na Ronaldo akiwa Arsenal.