Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Cech (BAKU)
David Luiz
Willian
Jorginho

Tukutane May kwa mahesabu
Sikuona tatizo kwa Cech
David Luiz aliisha hapo mlikosea
Wilian mlikosea kumpa mktaba mrefu, huyo alifaa mkataba wa mwaka mmoja, si unaona Fulam anavyocheza vizuri
Jorginho atawasaidia kuliko msingekuwa na backup ya Partey na Arteta kamchukua kwa maana hiyo hiyo baada ya dili la Caicedo kufeli na muda haupo tena
 
Lokonga anakusalimia..... Arsenal hamuwezi kuwa a top club na wachezaji wenu wa mafungu. Jorginho anakuja kuongeza tu idadi ya wachezaji mlionao.

Au mtamtumia kwenye Cup games..... aaah! kumbe mmetolewa kote.
Ninachojua hakuna kombe mtabeba msimu huu,

Timu yenu haiwezi kusajili hivo unakuja humu kupoza

Lokonga kwa manyua anacheza,kwa Arsenal 3rd choice

Whoscored wanasema Ni wachezaji wawili kutoka unyumbuni wanaingia kikosi Cha Arsenal

Why lokonga Kwenu asicheze
 
Huenda ndiyo akapata nafasi ya kung'ara na kupata uzoefu wa ligi na tamaduni za England vizuri huko. Akija msimu ujao anakuwa wa moto.
Huyo dogo sikupenda aondoke, akipewa game time, saka anaweza kukaa. Kwa mtizamo wangu, msitukane
 
Kule Baku kabla hawajaanza na Cech waanze na kocha Kwanza Emery

Mbinu ovyo ndio maana alitimuliwa mapema tu
 
Nyie endeleni kupinga ukweli ila Arsenal kila dirisha mnashindwa kupata top targets mnahamia kwenye wachezaji wa mafungu.

Martinez
Raphinha
Mudryk
Caicedo

Wote ni wachezaji wazuri mmewakosa, top players ndiyo kitu Arsenal mnakosa. Ile defence yenu yenyewe inahitaji improvements.
 
Chelsea are letting players out today, but so are Arsenal and Crystal Palace are close to finalising loan move for Albert Sambi Lokonga.

90min.com/posts/transfer…
 
Dah ikishindikana iatabidi achukuliwe ivan fresnada toka spain acheze RB kisha ben white acheze kiungo.tuliambiwa hawa wachezaji ni "versatile "ni muda sasa tuone uwezo wao wa kunyumbulika
Duuuh!!!Kuna mwamba katoka kunambia haya jana!!
Ben Cheupe(kama wanavyomwita mashabiki wa timu pinzani) arudi kiungo, then Tomiyassu apige mbili.
 
£12?

Hapana tuongezeeni ifike 20M.

Tunawauzia mashine ya kazi.

Injury free na atafanya vizuri kwenye mfumo wenu wa pass nyingi.

Pass nyingi ndio chakula cha Jorgnho.
Sisi ishu siyo pass nyingi tu Bali tumiliki mpira na tuingie 18 za timu pinzani na kupiga mabao mengi. Alete magoli mengi sana pia
 
Usajili wa Jorginho utatusaidia kuchukua ubingwa wa ligi msimu huu maana atakuwa option nzuri ya partey au baadhi ya game kama za Europa anaweza akawa anaanza yy na Xhaka.

kwa usajili wa mwaka Mmoja sio mbaya then summer tunaingia kuchukua midfielders wa maana na right winger Kwa ajili ya kusaidiana na Saka.

Arteta ndio kampendekeza Jorginho Kwa hiyo Sina wasiwasi na usajili huu na Kwa taarifa yenu Jorginho atang'aa sana hamtaamini Kwa wale wanaombeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…