Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| @FabrizioRomano on Arsenal:

“Jorginho is another option on the table; Serie A return has always been his priority, but he’d be open to join Arsenal. It’s up to Arsenal, if they want to proceed or not; he’s one of the player they have been considering in the last ten days.”
 
Unajua kati ya mashabiki wanaoleta lugha za kihuni humu jukwaaani we unaongoza?
 
CONFIRMED KUTOKA VYANZO VYA UHAKIKA

WAMESEMA HAUZWI KWA VYOVYOTE , SO ARSENAL KUGEUKIA OPTION NYINGINE


No third bid from Arsenal for Caicedo - the @OfficialBHAFC “not for sale” stance unchanged.
 
Huu ni ukweli mchungu sana ndugu yangu allypipi hawa vijana wa humu hawapendi kabisa kusikia ukweli wa namna hii.
Wanakazania tu sisi hatupigwi hela hiyo utafikiri hio hela imetoka kwenye mifuko yao, hawajui wasipopigwa hio hela na wachezaji basi wanapigwa pesa nyingi zaidi na Kroenke's family inayopatikana kama faida ya timu.
Hayo mambo ya kupigwa au kutopigwa walitakiwa wayaongelee mabosi wa hizo timu sio nyie mashabiki wa yombo vituka ambao tokea mzaliwe hamjawahi hata siku moja kununua japo jearsy original ya timu ili kusupport mapato ya club.
 
Mzee baba unashinda humu unajadili usajili wa Arsenal

Ndio kusema nyie mna kikosi kipana ?
 
Unajua kati ya mashabiki wanaoleta lugha za kihuni humu jukwaaani we unaongoza?
Sawa mimi najijua naongoza kwa lugha za kebehi na dhihaka lakini sio mitusi michafu ya direct.
Nionyeshe hata comment yangu moja niliotoa matusi ya moja kwa moja halafu mimi nikuonyeshe paka mwenye mapembe.
Ushabiki, tambo, dhihaka hua haukataliwi kwenye mpira lakini sio kumuattack mtu direct na matusi.
 
Ivan Fresneda situation. Real Valladolid, convinced to keep the player on Monday - but there could be some change in the final hours of the market as clubs are still trying to reach an agreement now for season 23/24.
#DeadlineDay

One to follow until the end of the day.
 
Hata 3rd offer WATAKATAA

.@David_Ornstein on the @TheAthleticFC Live show:



The suggestion I keep hearing is the Caicedo deal is NOT happening. Arsenal went all in for him so there will be of course disappointment.
 
Sina shida na Jorginho
Uchezaji wake mbaya kwa baadhi ya mechi za Chelsea inaweza kuwa mifumo ya makocha, waliomzunguka nk
Ila ukweli ni huu Arteta akiweza kumguide aache tabia ya kukaa na mpira kwenye mazingira ya hatari hadi ananyanganywa na kusababisha unnesesary counter attack kwa opponent basi anaweza akawafaa sana kwa short term plan. Ni short pass passer mzuri, anaweza pia kupiga long passes, sijamuona akipiga through passes za kubreak lines. Tabisa nyingine ni too much back passes na saa nyingine hizo back passes anapiga hata bila kuangalia zinaishia kwa nani?
So Arteta anakazi ya
1) Kumuwezesha aache kukaa na mpira hadi anyang'anywe na opponent
2) aache tabia ya kupiga back passes kiholela
Akisolve hizo changamoto mbili atakuwa good signing
 
Hata 3rd offer WATAKATAA

.@David_Ornstein on the @TheAthleticFC Live show:



The suggestion I keep hearing is the Caicedo deal is NOT happening. Arsenal went all in for him so there will be of course disappointment.
Ila hao brighton ni wajinga sana, hawajui kufanya biashara. Wakitegemea summer ndio watapiga bei wanajidanganya. Pia watakuwa wamemdhoofisha huyo kijana wa watu, kuna uwezekano asicheze tena vizuri kwani juhudi yake yote imeishia uvunguni mwa Brighton. Naomba hao jamaa washuke hata daraja msimu ujao.
 
Arteta toka anafika Arsenal alimtaka Gorginho ,

Ni mindset tu ya mashabiki ,Mimi Sasa moyo utatulia Sasa ,maana kwenda round ya 2 na Partey pekee ,ilikuwa Hatari sana
 
Arsenal advancing towards agreement to sign Jorginho from Chelsea. 31yo Italy midfielder now most likely #DeadlineDay recruit. Acceptance at #AFC that Brighton stance on Moises Caicedo means pursuit of 21yo Ecuadorian is over @TheAthleticFC #CFC #BHAFC
 
Yeye anaongoza, wakimjibu ovyo ,anakimbilia oho mashabiki wa Arsenal Wana matusi
Mkuu Aaron Arsenal mimi hata siku moja sijawahi kulalamika humu nikitukanwa, sanasana hua nampa na like kabisa yule alienitukana ili auhisi ujinga wake.
Nikilalamika humu hua inahusu matusi ya wenyewe kwa wenyewe au mtu mwingine yoyote.
 
Jorginho, Nah! If will happen this is the worst signing in the history of football. If we consider "backup" then we better use Zinchenko, Ben White or Kiwior.

Can't stand someone being sent to sabotage us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…