Add ons yanini sasaHatuwez kutoa hiyo Labda €10m + 5 add ons
Akisaidia kufikia MalengoAdd ons yanini sasa
Dah ikishindikana iatabidi achukuliwe ivan fresnada toka spain acheze RB kisha ben white acheze kiungo.tuliambiwa hawa wachezaji ni "versatile "ni muda sasa tuone uwezo wao wa kunyumbulikaArsenal are pushing hard to strengthen the midfield area on #DeadlineDay. Arsenal remain ready to do a deal for Moises Caicedo if Brighton change their "not for sale" stance.#AFC
(via @SkySportsNews)
Wameona tunaenda plan B na tajiri miluzi hajajitokeza.The Times
Wanasema deal limekuwa accepted
Record fee
Ngoja tuone vyanzo vingine vinasemaje
Fresneda anabaki had summer kathibitisha Juzi mwenyeweDah ikishindikana iatabidi achukuliwe ivan fresnada toka spain acheze RB kisha ben white acheze kiungo.tuliambiwa hawa wachezaji ni "versatile "ni muda sasa tuone uwezo wao wa kunyumbulika
Unachekesha wewe!Dah ikishindikana iatabidi achukuliwe ivan fresnada toka spain acheze RB kisha ben white acheze kiungo.tuliambiwa hawa wachezaji ni "versatile "ni muda sasa tuone uwezo wao wa kunyumbulika
Siwaoni kama reliable sourceThe Times
Wanasema deal limekuwa accepted
Record fee
Ngoja tuone vyanzo vingine vinasemaje
Cha kuchekesha kipi mkuu?Unachekesha wewe!
Ben white hawezi kucheza DMCha kuchekesha kipi mkuu?
Nyie mbona vichwa ngumu sana?Arsenal are considering a third bid worth £75m for Moises Caicedo. Arsenal may revive their interest in Youri Tielemans as the Jorginho move has been played down. Reports, @GaryJacob.
Kuliko kumsajili jorginho bora waje bongo wasajili wamasai wawili wakae DM
We jamaa wewe una mambo.Nyie mbona vichwa ngumu sana?
Tulishawaambia chini ya £80m hatumtoi Moises Caicedo, sasa kwa hizo dharau zenu za kuongeza eftatu tatu tumeshaghairi hatumuuzi tena labda mtoe £100m.
Hamna shukran kima nyie, Trossard tumewapa kwa bei ya hisani halafu na Moises Caicedo bado mnalialia.
Mzee kapambane na manyua msajili au mna kikos kipana?Nyie mbona vichwa ngumu sana?
Tulishawaambia chini ya £80m hatumtoi Moises Caicedo, sasa kwa hizo dharau zenu za kuongeza eftatu tatu tumeshaghairi hatumuuzi tena labda mtoe £100m.
Hamna shukran kima nyie, Trossard tumewapa kwa bei ya hisani halafu na Moises Caicedo bado mnalialia.
Arteta anafeliYuda mbona mmeshusha thamani dada Jorgina kiasi hicho?
Malezi ya pande mbili yamekosena hapa, hawa watoto wa kupatikania nyumba za wageni ni janga kwa taifa.wewe umeshatoa ngapi kule MAN U??au umekalia UCHOKO tu??usilete UCHOKO wako humu,hatuhitaji MITARO