Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Alafu angalia katokea ukraine huko ,,,,,

Njoo kwa Chelsea wanaenda toa £120m kwa enzo

Soko limekuwa gumu, ukichemka wenzio wanalipa hela ,,,,

Summer Napoli watafanya biashara nzuri Sana wakiamua kuuza baadhi ya stars wao !!!!
Kvara n Osimhen

De laurentis akitaka kuwauza hao ana 200+M kwa hao wawili tu
 
Unaweza kuspend big na bado usifapate mafanikio, wachezaji wengi ni average tu sema uhitaji wa club kubwa ndio unafanya soko liwe gumu. Mchezaji mzuri ila not so proven unamnunua kwa 100m, then aki-flop ni hasara kubwa.

Huyo dogo anaweza kuwa mzuri emirate kukamshinda aka flop tu. 70m ni nyingi, wakizingua Edu aangalie kwingine.
 
Morinho aliwahi kulisema hili, wachezaji wamekuwa so overpriced, thamani yao na bei sokoni haviendani hata kidogo. Mudryk kununuliwa kwa 89 ni ghali sana, basi tu michezo imekuwa biashara kubwa kuliko.
Miaka imeenda na soka limebadilika, hivi viwango wanavyonunuliwa navyo wachezaji haviwezi kuendana na uwezo wa mchezaji kamwe.

Mikataba, form ya mchezaji na hali ya timu ndiyo vinaamua price. Timu zipo katikati ya msimu haziwezi kuruhusu wachezaji kuondoka bila offer ya maana. Soko limebadilika, pia hizi fedha zinasaidia vilabu vidogo kujiimarisha na kuleta challenge ktk ligi.

Hakuna mchezaji overpriced, inategemea tu umegonga mlango wakati gani.
 
Washazoea wachezaji wao wa mafungu toka enzi za Mzee Wenger.
 
[emoji599]Arsenal remain interested in Caicedo despite two bids being rejected. Brighton consider the case closed but have looked at replacements as per normal scouting process

(@David_Ornstein)
 
BALOGUN TUTAMUUZA BEI NZURI

Folarin Balogun (21) tonight scored a last-gasp equaliser vs PSG - his record in Ligue 1 so far:

19 games, 11 goals, 2 assists. Starboy.
 
[emoji599]Arsenal remain interested in Caicedo despite two bids being rejected. Brighton consider the case closed but have looked at replacements as per normal scouting process

(@David_Ornstein)
Wanakaza ila wanaonesha dalili ya kumuachia kwa mbaliiiii, ofa ya tatu ya Arsenal kama wakipeleka hawez kuchomoa
 
Tumelia wapi , Mchezaji tumemuheshimisha ofa ya Kwanza £60m fixed , ya pili imefika £70m unasema tunalialia

Kuwa serious Basi ,

Kwa mudrky tulifika €95m-€100m unasemaje tunalialia ?

Nyie mlitumia hela ovyo €100m kumnunua Mchezaji wa YouTube , yule Ni wa €40m TU

Sasa Hivi mtaanza kulialia majeruhi, kikosi kidogo


[emoji599][emoji3582]| Manchester United remain unlikely to make any further additions this month beyond signing Wout Weghorst on loan.

[@David_Ornstein]
 
Ila nawatahadharisha Caicedo asijekuwa kama Bissouma tu pale spurs.....
 
Naona tuachane nae huyu Caicedo. Hawa BHA wamepanga kutukamua. Arsenal wasiende zaidi ya hapo.

Tuangalie options zengine.

Navuta picha hapo wangeenda Spurs, Villa au timu yoyote ndogo basi wangekua washamchukua kwa £25 tu!
 
Ila nawatahadharisha Caicedo asijekuwa kama Bissouma tu pale spurs.....
Hizo roho mbaya Sasa, halafu Bissouma na caicedo Ni wachezaji profile tofauti

Kuna mashabik wenzangu nilibishana nao Sana Hata humu kuhusu Bissouma kuwa sio Arsenal material,mwisho wa siku hakuna klabu iliyomtaka ,Hadi akabaki anajipigia debe kuja Arsenal, Bei ikashuka Hadi £25m , ndipo Conte akambeba

Kwahiyo elewa Kwanza Arsenal tunasajili Mchezaji anayeendana na mfumo wetu ,

Ukimuangalia Trossard unaweza kusema Ni Mchezaji ana miaka miwili Arsenal ,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…