Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kumbe unataarifa kwamba Saka ni chezaji kubwa duniani🤣🤣🤣, itakuwa anakuumiza sana hadi unazusha taarifa za kuhitajika Madrid, unadhani katokea America ya Kusini? Tuliza kipira nduguHamna uwezo wala jeuri ya kujenga project ya muda mrefu
Anceloti anamtaka Bukayo Saka his dream team
Kwa vijisenti hivyo m,navyotoa aisee mjenge team A na B yenye quality sawa
Waulize city wametumia kiasi gani kujenga team A and B zinazolingana
Pesa ndefu baba, bila hiyo msijigambe hata kidogo
Hizi nguvu za soda za mwaka huu zisiwapumbaze
Wanaume tumekaa pembeni tunawasanifu tu na kuwachorea ramani
Naam.THE ARSENAL WAY
Huyo jamaa hajui lini timu yake itarejea, Summer walitumia €300m akatamba , now wapo 10th, so lazima awe anaumiaKumbe unataarifa kwamba Saka ni chezaji kubwa duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787], itakuwa anakuumiza sana hadi unazusha taarifa za kuhitajika Madrid, unadhani katokea America ya Kusini? Tuliza kipira ndugu
Ni suala la muda tu ataelewa, mwache akaze shingo.Huyo jamaa hajui lini timu yake itarejea, Summer walitumia €300m akatamba , now wapo 10th, so lazima awe anaumia
Toka Arteta anaanza hii project huyo jamaa amekuwa akibeza , Juzi Arsenal hatuwezi kumtaka Caicedo, [emoji1787] Gafla ikatumwa bid ya £60m , anasema tunachofanya Ni mbwembwe kutengeneza A & B teams ,
Arsenal walimpeleka Arteta kwa Pep akajifunze vingi ikiwepo Depth of squad ,
Moja ya Depth ya kikosi Ni kuwa na mchezaji anayecheza nafasi zaidi ya 1, tumeliona Hilo kwa Arsenal ,tuna wachezaji karibu 6 wanacheza nafasi zaidi ya 1
Hili deal la Caicedo ni kama Chelsea tumetulia hivi yani tangu tupeleke offer ya kwanza tetes zikawa zimeishia hapo.[emoji2788]| @FabrizioRomano:
“Brighton insist they want to keep Caicedo, so it’s not an easy one. Arsenal are pushing on Caicedo deal also on player side.” #afc
Enzo nasikia wanampa £2m halafu RC wanaipandisha kutoka €120m had €150mHili deal la Caicedo ni kama Chelsea tumetulia hivi yani tangu tupeleke offer ya kwanza tetes zikawa zimeishia hapo.
Now naona tu tetes za Enzo zikirudi tena
Wakat huo huo naskia tukitaka kutoa €100M + 2 player loanEnzo nasikia wanampa £2m halafu RC wanaipandisha kutoka €120m had €150m
Partey mnyumbulifu saana, mali inakuja anatizama kwenye side mirror, anafamya kama anapasia, anageuka kwa adui, anacheza one, two, anapiga through ball.. Mie napenda kiungo mnyumbulifu.Pamoja na kuwa tunamtaka Caicedo, itachukua muda kupata mtu wa aina ya Partey. Tom, pamoja na janga lake la majeruhi, ni kiungo aliyekamilika. Ana uwezo Mkubwa wa mpira.
Ana uwezo wa kudictate midfield na kucheza kama anavyotaka yeye, na ana akili kubwa na utulivu anapokuwa na mpira.
Tom ana kitu tunachokiita Defensive Discipline, anajua wapi nipite na mpira na anajua wapi nipitishe mpira badala ya kwenda nao. Anajua wakati timu pinzani imekuja juu, kwamba afanye nini kurudisha mpira uwe katika hali ya kawaida.
Ana uwezo wa kupiga mashuti, na ana uwezo Mkubwa wa kupiga pasi. Anajua hii pasi sikupi wewe kwa sababu Fulani, Nampa Fulani kwa sababu Fulani...yaani haachii pasi ovyo.
Kwa neno moja tunasema ana High Maturity.
View attachment 2498873
Kwangu bado Gabriel jesus ni bora zaidi. Naombea arudi haraka, nadhani kukosekana kwake kunamfanya hata martinelli asicheze vizuri.Gunners Bado kuna mtu ana wasi wasi na Eddie ENKETTIAH kuziba pengo la Gabriel Jesus??.
Mie kusema Kweli sijui wasi wasi wenyewe unatoka Wapi
Lakini pengine ni kawaida ya Mashabiki.Msimu uliopita walinuna wakati Lacazette anawekwa nje anaanza Eddie Enkettiah
Eddie Enkettiah akafunga goli 5 kwenye Mechi 7 wakasahau na wakaanza kuimba jina lake.[emoji2]
Akaongozewa Mktaba wakafaurahi kinoma, Saivi amepewa nafasi anaonyesha kwanini aliongzewa Mktaba.
Halafu kuna option za ESR kucheza False 9 au Gabi Martinelli kucheza kama 9 kama ikishindikana ambayo ni asilimia kidogo, Kuna ongezeko la Trossard ambaye anapiga Miguu yote,amejaa Skills za hatari.
Kwangu Kimbinu na Kiufundi Eddie Enkettiah ni perfect replacement ya Gabriel Jesus
Anaweza kuunganisha team vizuri (Link up play) [emoji736]
Ni focal point mzuri [emoji736]
Ni outlet mzuri tu [emoji736]
Ni mzuri Kwenye 1v 1 [emoji736]
Ni mpambanaji mzuri tu [emoji736]
Ni mmaliziaji mzuri tu [emoji736]
What else GABI JESUS anafanya EDDIE ENKETIAH hawezi?
Kitu Bora ni kusajili watu wa kuboresha Lile eneo la Kiungo ,
View attachment 2498928
Hilo halipingiki Kaka Jesus Ni monsterKwangu bado Gabriel jesus ni bora zaidi. Naombea arudi haraka, nadhani kukosekana kwake kunamfanya hata martinelli asicheze vizuri.