Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Unapiga ramli aumie? Game zaidi ya 20 amekosa mechi 3 au 2Ataumia tena, injuries are looming after him
Muombeni Mola sana awasaidie, na dili la Caicedo ndio hilo limefika mil 90 Sterling Pound
Kumbe alikuwa kala maharagwe mabichi, mimi nikadhani InjuryAtakuepo jumamosi against Everton
Nimesema wapi hivyo badala yake nimewaambie muombeUnapiga ramli aumie? Game zaidi ya 20 amekosa mechi 3 au 2
Endelea kuomba aumie huenda tukashuka had nafasi ya 10
Mlisema hivo hivo kwa jeraha la Jesus ,had Sasa anakaribia kurudi tupo vile vile
Jesus anarudi Macrh sawa na Kante, hiyo ya kurudi mazoezi ni processUnapiga ramli aumie? Game zaidi ya 20 amekosa mechi 3 au 2
Endelea kuomba aumie huenda tukashuka had nafasi ya 10
Mlisema hivo hivo kwa jeraha la Jesus ,had Sasa anakaribia kurudi tupo vile vile
Ana wiki 4 kasema mwenyewe , but sio akiharakishwa sababu Tuna option pale mbeleJesus anarudi Macrh sawa na Kante, hiyo ya kurudi mazoezi ni process
Hamna uwezo wala jeuri ya kujenga project ya muda mrefuARTETA ANATAKA KUTENGENEZA TIMU YA KUSHINDANA KWA MIAKA MITANO HADI SITA
Tunaelekea kwenye Phase ya mwisho ya Project(THE ARSENAL WAY) ambayo Kikosi Cha Kwanza na Cha 2 vinakuwa vinakaribiana Quality
Summer anaondoka HOLDING, ELNENY NA LOKONGA ANATOLEWA MKOPO
Arsenal will launch Declan Rice move in the summer even if they sign Moises Caicedo
Arsenal's move for Rice could be worth around £70m
(@SamJDean )
Dah wewe jamaa unaumia Sana aiseeHamna uwezo wala jeuri ya kujenga project ya muda mrefu
Anceloti anamtaka Bukayo Saka his dream team
Kwa vijisenti hivyo m,navyotoa aisee mjenge team A na B yenye quality sawa
Waulize city wametumia kiasi gani kujenga team A and B zinazolingana
Pesa ndefu baba, bila hiyo msijigambe hata kidogo
Hizi nguvu za soda za mwaka huu zisiwapumbaze
Wanaume tumekaa pembeni tunawasanifu tu na kuwachorea ramani
Timu yetu tunaijua Sisi ,ndio maana tunapokwambia tunakaribia kuwa na timu A na B zinazokaribiana tunamaanishaHamna uwezo wala jeuri ya kujenga project ya muda mrefu
Anceloti anamtaka Bukayo Saka his dream team
Kwa vijisenti hivyo m,navyotoa aisee mjenge team A na B yenye quality sawa
Waulize city wametumia kiasi gani kujenga team A and B zinazolingana
Pesa ndefu baba, bila hiyo msijigambe hata kidogo
Hizi nguvu za soda za mwaka huu zisiwapumbaze
Wanaume tumekaa pembeni tunawasanifu tu na kuwachorea ramani
Hapo kwa Chelsea hujadanganya mkuuKwa uzoefu wangu ,Arsenal hawatavuka zaidi ya £70m , Brighton wakikaza ,Arsenal atahamia Option nyingine
Itakuwa Surprised tukilipa €100m(£90m) kwa mchezaji ambaye ameanza mechi hazifiki 40 za EPL ,analipwa £3k per week
Pia Brighton watakuwa wehu Kama £70m watazidi kukaza
Akili Yao Chelsea atakuja na €100m
Pambana huenda Hata Conference league ukaikosaHamna uwezo wala jeuri ya kujenga project ya muda mrefu
Anceloti anamtaka Bukayo Saka his dream team
Kwa vijisenti hivyo m,navyotoa aisee mjenge team A na B yenye quality sawa
Waulize city wametumia kiasi gani kujenga team A and B zinazolingana
Pesa ndefu baba, bila hiyo msijigambe hata kidogo
Hizi nguvu za soda za mwaka huu zisiwapumbaze
Wanaume tumekaa pembeni tunawasanifu tu na kuwachorea ramani
Good news indeed| Good news. : MRI SCAN IMESHAFANYIKA ,PARTEY ALIPIGWA KIWIKO JANA, ARTETA AKAONA ASIMUACHE WAKAMUUMIZA ZAIDI ,
Thomas Partey's scan has been completed and his injury sustained against Manchester City is not a serious one and he's expected to be fit to face Everton.
Tuongeze DM mmoja ,Summer CM mmoja na RW ,Good news indeed
Acheze bwana awasaidie wenzake kukaanga hao kuku makangeCaicedo told De Zerbi that he wants to be an unused player for Brightons next game vs Liverpool . The expectation is that Arsenal will make another offer to reach a verbal agreement.
- @FabrizioRomano
Ongeza dua, kwetu ni kama la kukuPambana huenda Hata Conference league ukaikosa
Ili ucheze Conference league uwe wa 7, Sasa mtamtoa Nan nafasi ya 9-7Ongeza dua, kwetu ni kama la kuku