Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sisi tukimkosa sio issue tuna option nyingiSasa Brighton wameweka bei ya Moises Caicedo ya Paundi mil 90
Habari zenu Gunners and The Blues. Fainali ndio kwanza inaanza
Tusidanganyane bana, mna option nyingi za nani LUKONGA??Sisi tukimkosa sio issue tuna option nyingi
Kazi kwenu ,mtasajili ila nafasi ya 10 sion mkichomoka aisee
Usidanganywe na Nani?Tusidanganyane bana, mna option nyingi za nani LUKONGA??
Waandae €200m ,Anceloti anamtaka Bukayo Saka?
Indeed this is a very good observationUSARA ZA GWIJI LA HIGHBURY
Ni Mapema Ndio Lakini nimeona potential kubwa kwa Trossad jana kwenye misingi hii hapa
Niliwahi sema Mpira una Basics zake japo delivery inatofautiana kulingana Mchezaji na mchezaji ndio maana Uchezaji Zinchenko na Tierney kuna tofauti japo basics za Mpira ni zile zile
Trossad Ni mzuri kwenye ukokotaji mpira na kupunguza mabeki wawili watatu kutafuta space ya kufunga its means sio Limited
Pia Maamuzi ana maamuzi ya haraka afanye nini na mpira hii ni basics ila jamaa anaifanya kwa ufasaha mno
Kitu ambacho Trossad anahitaji kwa sasa anahitaji pattern sahihi kati yake na beki atakae cheza upande kushoto au LCM kama atachezeshwa LW
Kwanini nasema hivyo ili kuepeusha mazingira kuwa Isolated sana ata akipokea mpira hakuna mtu karibu wa kufanya nae Link up kwenye game jana
Anahitaji kuingia vizuri asa kwenye starting line up set ambayo mara nyingi Xhaka anacheza advanced LCM kumpa support kwa upande kushoto pia Zinchenko anavyocheza overlaping au inverted kuwepo na Angle nzuri kupatikana patterns au Jesus arudi wawe wanafanya positional interchange nawambia tuta enjoy sana uyu jamaa niishie hapa kwa leo
View attachment 2498437
Huyu Onana ni mvunja kuni tu, sioni akitua EmiratesAs reported yesterday, Martín Zubimendi and Amadou Onana are two names to keep an eye on
Arsenal will walk away from a potential Caicedo deal if there is no solution soon. Arsenal still have other options
Yah mvunja kuni huyuHuyu Onana ni mvunja kuni tu, sioni akitua Emirates
Naomba na ninyi mpate majeruhi kama sisi muachage kuwabeza walio wodini
Haya ebu mtuambie Partey anarudi lini au baada ya MRI Scan
Nasikia inaweza kwenda hadi Jul 2023
Arteta aliliona hili ndio maana anataka kumuuza Lukonga na Moises Caicedo sasa anaitaka Chelsea tu
Atakuepo jumamosi against EvertonNaomba na ninyi mpate majeruhi kama sisi muachage kuwabeza walio wodini
Haya ebu mtuambie Partey anarudi lini au baada ya MRI Scan
Nasikia inaweza kwenda hadi Jul 2023
Arteta aliliona hili ndio maana anataka kumuuza Lukonga na Moises Caicedo sasa anaitaka Chelsea tu
Ataumia tena, injuries are looming after himThomas Partey is expected to be fit against Everton.
Initial tests have shown no serious injury.
Endeleeni na Ramli nyingine