Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Acha maneno ,subiri mech Feb 15 ,Humu si tulikubaliana ake ni uchochoro?
Hivi yule bakari isaka huwa anakabwa na watu wangapi kweli?
Ushindi Wa Man City Jana Umepunguza Point 3,Bado Point 2 Watufikie [emoji125]Tatzo la arsenal ni kiburi, kiburi kitawaponza nyinyi ni kawaida saana.
Ev. Daniel mgogo voive
Jamaa wajinga Sana eti saka akabwe na watu watatu wakati hata mwamnyeto anaweza kumdhibitiYule aliyesema Saka anakabwa na watu watatu Yuko wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwel arsenal Ina empty headed fans wengi ,zero brain
Ake pocketed Saka and scored the only goal of the Match.
TUPE MATOKEO[emoji16][emoji16]Uchambuzi Ambangile
[emoji1593]Shape ya 3-2-2-3 wakiwa na mpira , Arsenal wameipress vizuri sana , man to man pressing . Trossard kwa Stones, Nketiah kwa Akanji , Saka kwa Ake , Vieira na Xhaka Vs Rodri na Lewis , Tierney anatoka pembeni anamfuata KDB ndani, Gabriel anatoka ndani kumfuata Mahrez pembeni.
[emoji1593]Tomiyasu Vs Grealish na Holding / Saliba Vs Haaland . Hii pressing ilifanikiwa kwasababu :-
1: Wingers wa City Grealish na Mahrez wanataka mpira mguuni badala ya ku run in behind Arsenal backline maana yake hata zile flicks za Haaland kwenye space iliyowazi hazina mtu
2: Ball carrier katikati , kumkosa Silva katikati ,pembeni ya Rodri
[emoji1593]Pep kubadilisha kuwa 4-4-2 kuingia kwa Alvarez kulisaidia kukabiliana na build up ya Arsenal , pressing ilikuwa nzuri zaidi tofauti na kipindi cha kwanza lakini pia iliongeza idadi ya washambuliaji mbele
[emoji1593]Arteta kaisuka Arsenal ambayo ipo sawasawa physically na technically , wachezaji wapo imara sana kimwili na wakiwa na mali wapo salama sana , ngumu kuwazuia kutoka nyuma na kufika mbele
Kaz yako n kuleta tableTUPE MATOKEO[emoji16][emoji16]
BORA KUPUNGUZA POINT TATU NA LIGI INAENDELEA UTAZIRUDISHA TU..HAPA TUNAONGELEA UMEONDOLEWA KWENYE MASHINDANO. UMEFURUSHWA [emoji1][emoji1][emoji1]Ushindi Wa Man City Jana Umepunguza Point 3,Bado Point 2 Watufikie [emoji125]
Halafu Watakuja Machinjion Walipofia Liverpool Na Manchester United February 15 Moto UtawakaView attachment 2497908
Jumapili hukuleta matokeo na msimamoBORA KUPUNGUZA POINT TATU NA LIGI INAENDELEA UTAZIRUDISHA TU..HAPA TUNAONGELEA UMEONDOLEWA KWENYE MASHINDANO. UMEFURUSHWA [emoji1][emoji1][emoji1]
Tunamfunga palace ,tunaenda Emirates tunamfunga Arsenal , tunakaa pale juuBORA KUPUNGUZA POINT TATU NA LIGI INAENDELEA UTAZIRUDISHA TU..HAPA TUNAONGELEA UMEONDOLEWA KWENYE MASHINDANO. UMEFURUSHWA [emoji1][emoji1][emoji1]
Very true, Partey akipata majeraha ya kumuweka bench kwa mwezi tu tutazungumza mengine humu.Hii team siku akiumia partey hata week 3 itakuwa vilio na kusaga meno ...
Hata Mudryk alivaa sana jezi za Arsenyani lakini kaenda the Blues.[emoji599] Caicedo’s desire is to move to Arsenal. Reports,
@SamiMokbel81_DM.View attachment 2497895
I think tunaweza maliza dili la Caicedo ,Kuna asilimia kubwa ...Arteta anajua chakufanyaVery true, Partey akipata majeraha ya kumuweka bench kwa mwezi tu tutazungumza mengine humu.