Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sio mbaya. We'll take +ve compliments. Tunabakiwa na focus kwenye EPL na Europa.
Nawakaribisha Man City Emirates. Pale ni sehemu nyengine kwa sasa. You don't want to Arsenal at their theatre.

Nataka niwaambie fans wenzangu wa Arsenal kwamba hakuna mtu ataondoka na point 3 pale Emirates msimu huu, trust me.

We go again gunners!
 
Kwahiyo mtashinda EPL na Europa? Anhaa, sawa! 🤣🤣🤣

After all that mnamaliza msimu trophyless!!!
 
Leo tumetoka FA kama arteta alivyo amua

Lokonga ni muda sasa we kusema kwaherini
Fabio Vieira ni mwepesi sana, huyu anahitaji kupikwa kweli kweli
 
Wenzako kina ordegard, zinchenko,martinell wameingia Kwa mikwara Kama wewe ....tutawafanya kitu mbaya nyie ,Bora media ziwe zinakaa kimya tu ....

Mkitaka Battle tutawagonga nje ndani mpka hamtaamin ....
 
Leo tumetoka FA kama arteta alivyo amua

Lokonga ni muda sasa we kusema kwaherini
Fabio Vieira ni mwepesi sana, huyu anahitaji kupikwa kweli kweli
Kwa arteta aliamua mtoke ,sema mmegongwa tu ....kama alitaka mtoke mlileta timu yenu uwanjani kufanya nin
 
LEO TUMEONA TIMU YA WAKUBWA NA TIMU YA VITOTO, ETI SAKA KWENDRAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…