Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hapo sawa ,pia naona Arteta anataka kuweka nguvu pia kwenye Europa ,Kwa bei hizo naona ni starter au akae bench kidogo Ili Partey apaumzike dk ya 75. Ndo maana nikasema atacheza number ya Partey kama ataweza kujifunza kuwa press resistant huku Partey na Xhaka wakipokezana ile number 8 moja anayocheza Xhaka, huku Ode na Fabio wakipokezana ile 8 ya pili
Brighton wanajiandaa kuvuna pesa zingine either from Chelsea or Arsenal.Nimeona ,ila tutapush Tena ,Caicedo alibadili wakala Juzi, na huyo wakala ndio kawatonya Arsenal uwezekano wa kumpata Caicedo January hi
Subiri ofa ya 2
Sam Dean Juzi alisema Arsenal Sasa wapo tayari kwenda Toe to Toe na Chelsea kwenye hili dili
Ni sahihi kabisa, ila Chelsea akiamua kwenda Mazima tumekwishaTuombe Tumpate huyu ,miaka 21 ,uwekezaji wa miaka 10 kwenye eneo muhimu DM
Tuna option 2Ni sahihi kabisa, ila Chelsea akiamua kwenda Mazima tumekwisha
Chelsea mkitokeza tu ,atauzwa €100mBrighton wanajiandaa kuvuna pesa zingine either from Chelsea or Arsenal.
Sema scout ya BHA
Msimu ujao yule Mitoma watu wataanza kumgeukia
Hahaha BHA, wanatuangalia tu hivi sasq wanajua watavuna pesa mda sio mrefu hawana haraka.Chelsea mkitokeza tu ,atauzwa €100m
Hajaumia Lile jeraha alilofanyiwa surgery akapona , inasemwa Ni hamstring injury tu,hivo wamechukua tahadhari kumuacha apumzikeMkuu kwani Rowe kaumia Tena ama vipi?
Leo Arsenyani anaenda kuosha vyombo pale Itihad, Haaland ana hasira nao sana, analalamika kila mara kua mashabiki wa arsenyani hawana adabu, akipishana nao barabarani hua hawamuamkii na pia wana midomo michafu hua wanamuita ngongoti.Kila la kheri man City
Upo sahihi asilimiahii mechi ya leo sioni kama itakuwa na magoli mengi sana kuna uwezekano mmoja akashinda 2_0 au 1_0 au 0_0 magoli mengi leo yanaweza kuwa 2_1.