Kuna jamaa shabiki wa arsenal alisema hawa jamaa hawakoseagi leo ukwapi?View attachment 2497171
Saka anasubiriwa asaini mkataba mpya ,mezani kawekewa £200kSaka aingezewe aseeee
City tunamkaanga leo ,Kuna jamaa shabiki wa arsenal alisema hawa jamaa hawakoseagi leo ukwapi?View attachment 2497171
Arsenal tungekua tunacheza nyumban ingekua hivohivo pia Mancity amepewa favor ya home ground, ofcoz wanaweza kutufungaKuna jamaa shabiki wa arsenal alisema hawa jamaa hawakoseagi leo ukwapi?View attachment 2497171
Nataman nimwone kiwior kwenye back line, zincheko katikati, Smith rowe nime miss show zake nataman pia nimwone maquinho na Nelson Kama winger wakitokea sub, nazaid jembe letu Trossard + fabio vieraMy lineup prediction
4-3-3
Turner
Tomiyasu Saliba Magalhaes KT
Vieira Partey XHAKA
Saka Nketiah Trossard
Itakuwa poa Nketiah akipumzika Front three iwe
Saka Martinel Trossard
Smith Rowe hajasafiri na timuNataman nimwone kiwior kwenye back line, zincheko katikati, Smith rowe nime miss show zake nataman pia nimwone maquinho na Nelson Kama winger wakitokea sub, nazaid jembe letu Trossard + fabio viera
Afu kumbe tunakikosi kipana tu,
first 11 yangu kwa leo
Tuner
Tomiyasu, White, kiwior, Tierney
Partey, Zincheko, Viera
Saka Nketiah Trossard
Kila mtu ashinde mechi zakeArsenal leo nipo pamoja na nyie point 4 nj nyingi msiniangushe tagawia buku buku wote humu mkishinda.
Arsenal forever nipigieni mtu huyo.View attachment 2497260
Mzee Mimi niko na Arsenal lakini zaidi ya hapo nipo na wewe. Piga hizo Hela Mzee babaArsenal leo nipo pamoja na nyie point 4 nj nyingi msiniangushe tagawia buku buku wote humu mkishinda.
Arsenal forever nipigieni mtu huyo.View attachment 2497260
Duuh hawa wanataka 100 nini?£60m Caicedo bid rejected
75m dah, ila jamaa yuko vizuri.Duuh hawa wanataka 100 nini?
Ila thamani ya uyu jamaa ni 70-75 basi
Brighton lengo lao limetimia sasa, wanataka bidding war, wanajua kabisa Chelsea wanamuhitaji,Arsenal Wanamuhitaj£60m Caicedo bid rejected
Ana release clause ya £75M tu kwenye mkataba wake.Duuh hawa wanataka 100 nini?
Ila thamani ya uyu jamaa ni 70-75 basi