Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Saka, Tomi, Gabriel, Saliba na ESR mmhh.Arsenal squad wages. [Sportrac via Sun]View attachment 2496345
Acha kashafa wewe bro, Chelsea ni ya kuilinganisha na vitimu vya Itally vilivyojifia kiaina. Chelsea inalinganishwa na Bayern, Real Madrid, PSG, Barcelona ya mwaka juzi, Manure, Liverpool na Man city
Wakisaini mikataba mipya watapiga parefuSaka, Tomi, Gabriel, Saliba na ESR mmhh.
Acha roho mbaya ,yaani unaona tunafaidi SanaHuu uzi kila mara uko juu kwenye new posts,maana kila kitu sasa hivi kwenu ni news kisa mnaongoza ligi kwa point 8!
Na ujuaji nao umeanza kuwajaa kama liverpool ya msimu wa corona,punguzeni mbwembwe wakuu.
Huyu ndiyo namsikia hapa kwako leo mkuuAccording to Jornal de noticias;
Arsenal are close to signing Midfielder Ibrahima Bamba from Portuguese side Vitória Guimarães (@iemadAFC)
Vipi huyu anajua?According to Jornal de noticias;
Arsenal are close to signing Midfielder Ibrahima Bamba from Portuguese side Vitória Guimarães (@iemadAFC)
Simfahamu kwakweli tunahusishwa nae tuHuyu ndiyo namsikia hapa kwako leo mkuu
SimfahamuVipi huyu anajua?