Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kuna tofauti kubwa Sana ,fatilia hizi factors kwanzaOk tuseme ni ya uwongo je kwani uwongo project yenu aina miaka 3 na sisi miezi 6?
Project yenu ilianza tangu enzi za van Gaal. Kwanini unahesabu miezi ya ten hag peke yake? Kwani project yenu ni kocha au ni timu?Ok tuseme ni ya uwongo je kwani uwongo project yenu aina miaka 3 na sisi miezi 6?
Sasa si mnajitetea kwamba mmefungwa sababu ya project ya miezi sita 9. Sasa misimu iliyopita mlipotufunga sijui hamkuwa na project?! Hivi kwann hamtaki kukubali kwamba arsenal wako vizuri?!Ok tuseme ni ya uwongo je kwani uwongo project yenu aina miaka 3 na sisi miezi 6?
Can't pick a side man. Zubimendi simjui vizuri, kwenye viclip anaonekana class, hizi news zinachanganya mno.
Ndugu hivi unadhani watu wanasema auzwe au Ni mahitaji ya timu yatamfanya auzwe?Nimeshangazwa na watu wanaodai Tierney auzwe July na wakiona White ni right back. Ben White alianza RB msimu huu kwa emergence tulikuwa nayo ya Tomiyasu kuwa majeruhi. Ben White ni CB na DM mwenye uwezo wa kuperform RB.
Tierney bado ni mchezaji muhumi katika timu na kwa miaka yote tumekuwa tukililia "Deep Squad", kikosi imara na bora kinakuwa na wachezaji wasiopishana uwezo sana na kwa kila nafasi.
Tomiyasu + New RB
Saliba + White
Gabriel + Kiwior
Zinchenko + Tierney
Tuungane kuwapiga vita wanaotaka kuona Tierney akiuzwa. Katika Msimu kuna mashindano manne lazima uwekeze katika deep 2 squad kuweza kushindana.
Sisi tunavyoanza project tunataka na kushinda hapo hapo kama umemsikilaza kocha wetu anasema project inatakiwa iendane na ushindi ndani yake.Kuna tofauti kubwa Sana ,fatilia hizi factors kwanza
Kikosi alichokikuta Arteta Arsenal na Alichokikuta ETH man u ,cha man u Ni kizuri Sana
Dirisha la kwanza tu Arteta alipewa /£70m
ETH dirisha la kwanza kapewa €245m
Hadi Sasa toka Arteta afike Arsenal ametumia jumla ~€310m tu huku Ten hag ndani ya miezi 6 tu katumia €250m
Maswali yangu kwenu ,Je hii project yenu Ni short term au long term
Maana mihimili ya timu Wana 30+
Varane
Casemiro
Degea
Eriksen
Je huoni hii project haina miaka miwili mbele mtarudi mlikotoka?
Elneny kaumia ,Tumebaki na DM mmoja tuCan't pick a side man. Zubimendi simjui vizuri, kwenye viclip anaonekana class, hizi news zinachanganya mno.
Shida yenu au ya huyu kocha wenu muoga Sana kuwapa nafasi watotoSisi tunavyoanza project tunataka na kushinda hapo hapo kama umemsikilaza kocha wetu anasema project inatakiwa iendane na ushindi ndani yake.
Sio kama Chelsea wanasema wako kwenye project lakini timu inazidi kufumuliwasisi hayo hatutaki ndo maana ukiangalia kwenye kikosi chetu kuna vijana kibao tu japo wanapewa nafasi kidogo kidogo ila ndo project yetu iyo.
Ni lazima tuandae project huku tunashinda na mechi zingine na tuna hakikisha tuna shiriki uefa ndo maana tuna mwaga na hela kusajili wachezaji wa kuingia moja kwa moja kwenye mfumo.
Uwezi anza kutegemea vijana wadogo moja kwa moja unakumbuka chenye kilikuwa kinawapata kipindi mnawatumia watoto kama chambers,Hector bellerin?
Naona mkuu umeamua kuacha kutumia akili yako tu ujui kwamba kila kocha anakuwa na wachezaji wake anao wataka unataka kuniambia project ya emery ndo ya arteta leo?Project yenu ilianza tangu enzi za van Gaal. Kwanini unahesabu miezi ya ten hag peke yake? Kwani project yenu ni kocha au ni timu?
Arsenal project ilianza na unai ingawa baadae arteta aliondoa wengi waliosajiliwa kipindi kile.
Arsenal mlikuwa mkiwapa sana nafasi watoto tumeshuhudia mkikutana na nini?Shida yenu au ya huyu kocha wenu muoga Sana kuwapa nafasi watoto
Anaenda kusajiri CF Besikitas ,watu wanajiuliza je academy hakuna CF apewe nafasi
Ngoja tuone mwisho wake