Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hii habari Ni fakeThierry Henry akizungumzia kiwango cha Man Utd dhidi ya Arsenal: “Tuliona timu ikiwa na miaka mitatu ya maendeleo dhidi ya timu yenye miezi sita ya maendeleo, pia timu yenye mapumziko ya wiki moja dhidi ya timu yenye mapumziko ya siku mbili, lakini United bado walicheza kwa kupishana( toe- to- toe) na Arsenal ambayo kwangu ilinishangaza ..Siitaki kumdharau Sir Alex Ferguson, lakini kama Erik ten Hag atapata anacho kitaka akiwa United, watacheza soka la kuvutia zaidi kuliko walivyocheza chini ya Sir Alex.”
Sio mimi maneno ya legend wenu msianze kunikaanga hapa.View attachment 2494521
Wamemlisha maneno Henry , hakuna sehemu alipoandika hayo manenoKila mtu ashinde tu game zake, mwambie hivyo,, kwan tushamzoea kuropoka kwake,, nakumbuka huyu aliishawah kutoa mbov kuhusu xhaka
Bladifuckeni Henry
Yeye ni legend tu, atuachie timu yetu
Yaani huyo Gary Neville sipendi hata hizo hadithi zake.Hivyo ndiyo Arsenal walivo, wanakupa credit when you deserve it and that's called respect and fairness unlike your so called legend Garry Neville na mashabiki wengine mna ego ya kishamba sana.
It's true Ten Hag kaitransform timu na mko vizuri hilo halipingiki.
Huyu Zubimendi anaua zile link za Declen Rice, ila sawa mi nahitaji holding midfielder mwenye brain, who knows how to control games, that's all i need.Arsenal reached an agreement with Real Sociedad this month to pay Martin Zubimendi’s £52.5m release clause, but the player does not want to leave his hometown club in the middle of the season & the deal is more likely to happen at the end of the campaign. [Mail] #afc
Martin Zubimendi has already decided that he wants to move to the Premier League at the end of the season & has his heart set on Arsenal, not Barcelona, who want him to replace Sergio Busquets, whose contract runs out in the summer. [Mail] #afc
Yaap hata mimi nlisikia kutoka kwa de geaLete source
Najua hayo ni maneno ya De Gea
Declan Rice muhimu sana. Kocha ndo anapanua kikosi hivyo.Zubimendi huyu Ni Bosquet mtupu
Tunahusishwa pia na Declan Rice , Onana kutoka Everton
Swali? Arteta anataka kuwa na timu zenye Falsafa mbili ?
Au Plan ipoje?
Maana hakuna aliyetarajia January tutahitaji RB lakin klabu imeweka nguvu eneo Hilo ,
Zubimendi Ni holding MD Kama Sergio Bosquet hata uchezaji,
Wamemlisha maneno Henry ,kwanza kihalisia Project ya man u haijazingatia swala la umri ,Yaap hata mimi nlisikia kutoka kwa de gea
Muhimu Sana, je Zubimendi mbadala wa Partey au XHAKA, au Rice au Onana ndio wabadala wa muda mrefu wa ParteyDeclan Rice muhimu sana. Kocha ndo anapanua kikosi hivyo.
Ok tuseme ni ya uwongo je kwani uwongo project yenu aina miaka 3 na sisi miezi 6?Hii habari Ni fake
Na wanaoisambaza na mashabiki wa man u
Arsenal mna karibia miaka 20 sasa no kombe kwaiyo mlikuwa hamuweki project za wachezaji wadogo au mbona Chelsea tumeona ikifanikiwa pasipo project ndefu?Wamemlisha maneno Henry ,kwanza kihalisia Project ya man u haijazingatia swala la umri ,
Project Yao Labda niambiwe ni short term , Arsenal tulijaribu kwa kuwaleta kina Willian , Jumlisha na kina Auba, lacazette ,Luiz ,ikafeli haraka Sana ,tukaanza moja na kina Saka, Smith Rowe, Martinell, n.k walio na umri 18-25
Project isiyozingatia umri hiyo Ni short term ,na inafika kipind inagota inahitaji replacement sahihi .
Tunazungumzia New Era after Wenger ,hata uwejezaji timu imebadilikaArsenal mna karibia miaka 20 sasa no kombe kwaiyo mlikuwa hamuweki project za wachezaji wadogo au mbona Chelsea tumeona ikifanikiwa pasipo project ndefu?