Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu mwana yuko vizuri.

Ila siyo finished article kuna kipindi alimanage kua first choice kwenye Juve yenye viungo rundo, ana decent pace, control na vision ila sijui nini kimetokea mpaka Juve wanataka kumuacha.
 
Mkuu nenda Youtube kaangalie Interview ya Boehly wakat anahojiwa na uiskie kwa makini. Utaelewa why Tuchel alifukuzwa.

Hizo issue sijui 443 ni media tu
 
Mkuu nenda Youtube kaangalie Interview ya Boehly wakat anahojiwa na uiskie kwa makini. Utaelewa why Tuchel alifukuzwa.

Hizo issue sijui 443 ni media tu
Ni 4-3-3 Mkuu sio 4-4-3 kama ulivoandika nadhan ni typing error
 
Chelsea kapeleka 60M ili amchukue Feran Torres ila Barca wamegoma
Chelsea hawajawh kumtaka Ferran Tores na hawajawah submit bid yeyote hayuko hata katika wachezaj wanaotakiwa.

Mchezaj pekee anayeweza fikiriwa kutoka barce tena ni kwa loan ni Kessie endapo sajil zikigoma kwa wachezaj tunaowatak

Priority ni Enzo n Caicedo
Priority nyingine Malo Gusto RB wa lyon

Fatilia mkuu.
 
Nachokiona hapa, arsenal kujiingiza kwenye hili deal ni kuwavuruga chelsea Ili wakaze wampate Caicedo ili summer sie iwe rahisi kumpata Decline Rice.
Na kama jinsi ilivyo kwa Agent wa Rice kuwatumiq nyie [emoji23] huyu Rice ni media tu za UK ndio zinatufanya tuonekane tunamtaka.

Siamini kama tunamtaka na sio priority kwetu. Labda itoke deal zote zimefeli hata summer deal zote zimefel ndio huenda tukaturn kwake

Priority yetu ni Caicedo o Enzo, mid mmoja this jan if possible nyingine Summer.
 
Ana profile gani mchezaji wa Brighton anayelipwa 15k p/w?
Hebu kua na adabu basi japo kidogo kwa Caicedo.
Chelsea, Bayern Munich, PSG na Real Madrid wote wanamtolea udenda halafu Kima wewe unakuja kuuliza Caicedo ana profile gani?

Sasa wewe unataka kumfananisha Caicedo na huyo Kwiyo wenu mliyemuokota kwa eftatu?
 
Kwani Chelsea waga wana priority basi? Chelsea huwa wanaangalia nani anahitajika wapi, nani yupo hot kwenye Mainstream media na wao wanalukia huko. €300m kwa dirisha la kiangazi na timu ipo 10th on the table.
 
Kwani Chelsea waga wana priority basi? Chelsea huwa wanaangalia nani anahitajika wapi, nani yupo hot kwenye Mainstream media na wao wanalukia huko. €300m kwa dirisha la kiangazi na timu ipo 10th on the table.
Rice ameanza kuhusishwa na chelsea tangu wakat wa Lampard, ila mpka leo hii hakuna official bid iliyowahi pelekwa.
 
Timu yote inafunga ,akabwe Nan Sasa

Arsenal Players perfomance in all Competition this season:

1_ Bukayo Saka__ 8 Goals[emoji460] 7 Assists[emoji736]
2_ Nketiah__ 9 Goals[emoji460] 1 Assist[emoji736]
3_ Martinelli__ 7 Goals[emoji460] 3 Assists[emoji736]
4_ Jesus__ 5 Goals[emoji460] 6 Assists[emoji736]
5_ Odegaard__ 8 Goals[emoji460] 5 Assists[emoji736]
6_ Xhaka__ 4 Goals[emoji460] 5 Assists[emoji736]
7_ F. viera__ 2 Goals[emoji460] 4 Assists[emoji736]
8_ R. Nelson__ 2 Goals[emoji460] 2 Assists[emoji736]
9_ Marquinhos__ 1 Goal[emoji460] 1 Assist[emoji736]
10_ T. Partey__ 2 Goals[emoji460] 4 Creating chance[emoji736]
11_ Elneny__ 1 Goal[emoji460]
12_ Saliba__ 2 Goals[emoji460] 1 Assists[emoji736]
13_ Gabriel__ 2 Goals[emoji460]
14_ Tierny__ 1 Goal[emoji460]
15_ Tomiyasu__ 2 Assists[emoji736]
16_ Ben White__ 2 Assits [emoji736] 2 Creating chance[emoji736]
17_ Holding__1 Goal[emoji460]
18_ Zinchenko__ 1 Assists[emoji736] 5 Creating Chance[emoji736]
19_ Aaron Ramsdale__51 Saves[emoji736] 18 Clearance[emoji736] 9 Clean sheet [emoji732]
20_ Matt turner__ 10 Saves[emoji736] 5 Clearance[emoji736]6 Clean sheet [emoji732]
 
Mkuu nenda Youtube kaangalie Interview ya Boehly wakat anahojiwa na uiskie kwa makini. Utaelewa why Tuchel alifukuzwa.

Hizo issue sijui 443 ni media tu
Huyo sio wa kumjibu. Ametunga kwa makusudi ili kusodoa
 
Kiongozi wangu hizi mada za usodoaji achana nazo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…