Hatuwezi kuwa na kiungo mvunja kuni kama onanaNimeona sehemu Amadou Onana wa Everton tunamtakia.
uyu newcastle sijui ata aliponaje hapo aseeeeeArsenal at Emirates Stadium this season 🔥View attachment 2492591
Tetesi tu,Nimeona sehemu Amadou Onana wa Everton tunamtakia.
akapost na game izo mi uwa simuelewi kabisaPicha za zaman hizi, shaffih anajulikana haipend Arsenal,
Hata Jana matokeo alikuwa anapost kwa kuvizia
Shaffih si ndio alituandikia makala ndefu hatutatoboa october
You never know anaweza kubadilishwa, naona ana kimo Cha haja na age nzuri.Hatuwezi kuwa na kiungo mvunja kuni kama onana
Hamna uwezo wa kumnunua Caicedo, wachezaji ambao tayari wameshatengeneza profile yao hua hamna ubavu wa kuwanunua, labda wale wa kupewa kwa hisani kama mlivyopewa Jesus na Zichenko.Moises Caicedo to Arsenal who says no?
We jamaa wewe......Hamna uwezo wa kumnunua Caicedo, wachezaji ambao tayari wameshatengeneza profile yao hua hamna ubavu wa kuwanunua, labda wale wa kupewa kwa hisani kama mlivyopewa Jesus na Zichenko.
Tuna mchezaji km Caicedo ambaye ni Partey, tukimpata Rice itakuwa poa zaidi, ataanza km 8 baadae Partey akipungua makali kwa umri wake, Rice anarudi 6Naona zile pesa za Mudy zimapiga kazi. Kama vipi tumchukue huyo Caicedo, au tuichukue scouting team ya Brighton maana wanajua kutafuta mpaka maporini huko wanaleta vyuma vya bei Cheeeeee ila vinakiwasha balaa.
We jamaa wewe......
Ana profile gani mchezaji wa Brighton anayelipwa 15k p/w?Hamna uwezo wa kumnunua Caicedo, wachezaji ambao tayari wameshatengeneza profile yao hua hamna ubavu wa kuwanunua, labda wale wa kupewa kwa hisani kama mlivyopewa Jesus na Zichenko.
Dah wewe jamaa ,sema Nini unatunanga SanaHamna uwezo wa kumnunua Caicedo, wachezaji ambao tayari wameshatengeneza profile yao hua hamna ubavu wa kuwanunua, labda wale wa kupewa kwa hisani kama mlivyopewa Jesus na Zichenko.
Yule babu kutoka Besikitas unamzungumziaje?Hongereni sana kwa kumsajili Kwiyo, hao ndio type za wachezaji ambao Arsenyani anauwezo wa kuwasajili ila sio kina Caicedo ambao kuna timu kubwa zaidi ya mbili zinamuhitaji.
443 umechanganya kidogo mzee..Inaingia akilini?
Kocha kaomba wachezaji umemletea. Ana win % nzuri ila ghafla unamtimua
Inasemekana kumbe Boehly alimwambia Tuchel mipango yake ni kuhakikisha wanacheza 4 4 3. Tuchel alivyosikia hivyo akamrekebisha Boehly ila Boehly akakomaa. Tuchel akaona hapa hakuna mtu wa kufanya naye project ndiyo akaamua kuondoka.
Kumbe Tuchel aliondoka kwa mapenzi yake na hakufukuzwa
Bob soma vizuri reaction ya Tuchel baada ya Boehly kusema 4 4 3443 umechanganya kidogo mzee..