Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Taarifa kutoka Spain zinasema Arsenal wametaka ku trigger Release clause (€60m) ya Zubimend kutoka Real Sociedad, Lakini Zubimend ameomba amalizie msimu huu ,hataki kuondoka January

Huyu Ni DM wale Kama Bosquet , Barca walimuhitaji Sana June,wakamkosa
 
Mi nimeanza kua humu we haupo.

Ukisema ndiyo nimeanza unakosea
 
Game after Game ndio Kauli mbiu

Saka on what Arteta said after the game:


“Obviously enjoy tonight, because we deserve to, but next week when it’s time to go again, and the FA Cup we go again to win that game, and when the Premier League resumes again we have to be ready to go again. Each game, each game, each game
 
Sasa unabisha Odegaard siyo winger?

Mbona watu wa humu mna drama nyingi?

Nakumbuka nikawa natoa mifano ya wingers ambao wamekua AM, nikatoa mifano ya Midfielders ambao wamekua mabeki.

Nikasema DM kaja ikiwa kuna Xhaka, ingekua sawa kusajili ambaye hatuna.

Mi nilikua hapa naandika day in day out wakati timu ipo shimoni
 
Naona shabiki wa Man pamoja na kejeli zako zote wiki iliyopita leo unajifanya mshauri.



Halafu hamna mashabiki wenye uvimilivu kama Arsenal na Liverpool wengine nyie Chelsea na Man uvumilivu hamna kabisa kuanzia kwenye majukwaa yenu mpaka mtaani.
 
Odegaard kihalisia sio winga,kafanye homework yako vzr, ndio nyie mliokuwa mwasema Auba Ni winga sababu anachezaga pembeni
Ulikataa kabisa Odegaard sio Am , ukimpigia debe aour Sijui yupo wapi, Lakini Arsenal walimnunua Odegaard Kama Am sio winger na hajawahi kucheza Winga Arsenal ,hata alipotoka kfatilie alicheza mechi ngapi Kama winga, ode ameanza kutumikia National timu ana miaka 16.

Mpo toxic Sana ,mliponda Sana Arteta kumsajili ramsadale ,n.k

Sasa timu inacheza na namba 8 wawili na Huyo Am uliyemtaka Hadi leo hajaletwa ,AM Ni odegad ,hajawahi kuwa Winga asilia ,labda udanganye wasiomjua odegad
 
Ilitakiwa unikute mwaka ule ili tuanze andikiana back to back siku hizi nina mambo mengi mkuu.

So enjoy your victory
 
Weston Mckennie to Arsenal?

Juventus are willing to negotiate the sale of McKennie for a reasonable offer, between €20/25M fixed base + bonuses. Arsenal could make an attempt for the player. Should Weston be sold, an assault on Fresneda could materialise. (@GiovaAlbanese / @Gazzetta_it)
 
Haya vijana wenzenu wa hovyohovyo ameswekwa lupango huko kwa kufanya uhaini wa kujitangazia ubingwa pamoja na kughushi kombe la Epl
View attachment 2492786
Picha za zaman hizi, shaffih anajulikana haipend Arsenal,

Hata Jana matokeo alikuwa anapost kwa kuvizia

Shaffih si ndio alituandikia makala ndefu hatutatoboa october
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…