Hongereni Gunners,,,,
Msimu huu wakuwazuia alikuwa aidha sisi ama city, sio mbaya tumegawana hizo alama sita! Kazi kwenu mpambane na citizens!
Saka, Yuko vzr Sana yule chalii, bad luck timu ya taifa hapati minutes za kutosha !
Zinchenko mtu pia,,,,
Kipa wenu ana mawenge mawenge,,,,
White Jana ulimi nje, rashy alimuendesha awezavyo, na ile yellow kocha akaona Bora amtoe ,,,
Martineli , bado aisee hakuwa threat kiivo, !
Partey pia hakuwa na game nzuri Jana,,,, goli letu la Kwanza lilianzia kwake, tungekuwa na Casemiro nadhani ingekua battle nzuri kwenye midfield !
!!!!! Mngempata Mudrky mmngetisha Sana aisee, Bora alienda Chelsea