Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msimu wa tano hapo Emirates ktk EPL hujawahi pata hata droo,so uwezo wako umeishia hapo sema shukuru zilikiwa Chache, Eriksen kapunguza mbili na De Gea moja. Huna timu ya kuizuia Arsenal.
Sio mbaya mkuu aggregate

Arsenal 4 vs manchester united 5

Tuliwapiga mmetupiga kazeni tu mpone ule ugonjwa wenu unao anzaga mwezi 3 mtakuwa mabingwa.
 
Msimu wa tano hapo Emirates ktk EPL hujawahi pata hata droo,so uwezo wako umeishia hapo sema shukuru zilikiwa Chache, Eriksen kapunguza mbili na De Gea moja. Huna timu ya kuizuia Arsenal.
Uwezo wangu umeishia hapo wapi? Kama hujui ume mquote shabiki wa Arsenal

Ni ukweli usiopingika kuwa Arsenal game za nyuma dhidi ya Man u at Emirates zilikuwa nyepesi kwa sababu walikuwa hawana pressure ya matokeo

Game ya leo ilikuwa na different approach, different determination, different pressure, tumekuwa tukicheza na man u kipindi ambacho hiyo game haitupi chochote zaidi ya pride tu

Game ya leo ilikuwa ni zaidi ya pride, game ya leo ilikuwa ina determine mwenendo wetu wa ubingwa, wachezaji walikuwa na pressure kubwa sana baada ya city kushinda, na hii yote ni kutokana na kutokuwa na wachezaji wengi wazoefu wa mbio za ubingwa kama ilivo kwa Zinny na Jesus
 
Sio mbaya mkuu aggregate

Arsenal 4 vs manchester united 5

Tuliwapiga mmetupiga kazeni tu mpone ule ugonjwa wenu unao anzaga mwezi 3 mtakuwa mabingwa.
Aaahhh wapi, hawa kwa hayo magoli yao ya kubahatisha kuchukua ubingwa bado sana, mechi 4 za mwisho wa ligi watakua wanapambana na Liverpunda kuwania top4 labda kama huzijui hizi Nyani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…